Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc: DemissPure African lady, wadada wa hivi huwa ni watamu mno..
Nimeiona ni filamu iliyoandaliwa kifundi sana. Hongera zake.View attachment 992409
Genevieve Nnaji has become Nollywood’s first Billionaire as Netflix reportedly buys her movie LionHeart for $3.8million (N1,051,297,231).
Historic. [emoji1184]
Tuanze kwanza kulinganisha elimu zao,huyu na hao wengine
huyo ana Bachelor degree in Creative Arts,hao wengine wana elimu gani?
Labda kwa kuwa watakuwa wameona ulichoandika watachange[emoji3]Ila jamani toka walivyoanza kuigiza wangeweza kujiendeleza kielimu!
Kikubwa Tanzania mwanamke akishakuwa celebrity anawaza tu kupata madanga ahongwe
Ni wachache sana waliouepuka huu mtego
Wasanii wa Bongo haswa Movies ili wafikie level za Genevive au Lupata lazima wajiendeleze kielimu haswa language za nje kama Eng, Frnch, Grmn, Spanish nk ili wawe na uwezo wa kuongea na wasanii wa mamtoni, vilevile wawe wabunifu siyo kuiga story za movie za wenzao hafu wao wakaigiza kwa kiswahili.View attachment 992409
Genevieve Nnaji has become Nollywood’s first Billionaire as Netflix reportedly buys her movie LionHeart for $3.8million (N1,051,297,231).
Historic. [emoji1184]
Genevieve Nnaji Daughter
Nnaji has a daughter by the name Theodora Chimebuka Nnaji. “Dora” as she is fondly referred to, is well protected from the public hence, not much is known about her.
According to the Nollywood actress in an interview, she gave birth to her baby girl at the age of 17. She explained that she didn’t know she was pregnant until her mom discovered it. Since she was from a Catholic family she had to keep the baby as abortion was against their beliefs. After her birth, Chimebuka was raised by her grandmother.
Watanzania pendeni vyenuGenevieve Nnaji and her Daughter TheodoraGenevieve Nnaji Daughter Father
Genevieve has never revealed who the father of her daughter is. This can be attributed to the controversies surrounding her pregnancy.
msitake kuwatukana wasanii wetu kuwa hawana aadili
hata huyu Bibie katungikwa mimba angali mdogo hata 18yrs hajafika na hakujua km ana mimba
km usomi tunao pia wasomi kuliko Geneivi-eve Nnaji
View attachment 992636
Mama kulia Genevieve na bintie Theodora
Watanzania pendeni vyenu
Hawa siyo bongo movie, wanaitwa bongo chupi au bongo papuchiHajajichubua wala kujiwekea mapambo ya kimalaya kama hawa bongo muvi
Is this relevant to this story?
Kwamba itabadilisha ukweli wowote kwenye ubora wa kazi zake?
muwe mnaangalia na upande wa pili wa shilingi sio kila kitu kusifia na kuponda vya kwenuHuyu mdada yupo level nyengine. Na maisha yake ameyaweka so private. Movie zake ni za kuchagua mno kwa kuwa ameshajiwekeza kimaisha
muwe mnaangalia na upande wa pili wa shilingi sio kila kitu kusifia na kuponda vya kwenu
kwa wapenda filamu za Nollywood wageni msiomjua wengine hatushangai lkn ingieni search ndio mje kusifia
Acha uboya wewe huyo ni Mtanzania? (ana mabwana wangapi na mmojawapo katembelea TZ)Watu wanajadili ubora wa kazi, nidhamu ya kazi, kujielimisha ili uendelee kuwa vizuri upate big deals. Wewe unazungumzia personal life.