Wasanii wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa msanii Genevieve wa Nigeria

Wasanii wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa msanii Genevieve wa Nigeria

Tuanze kwanza kulinganisha elimu zao,huyu na hao wengine

huyo ana Bachelor degree in Creative Arts,hao wengine wana elimu gani?

Ila jamani toka walivyoanza kuigiza wangeweza kujiendeleza kielimu!

Kikubwa Tanzania mwanamke akishakuwa celebrity anawaza tu kupata madanga ahongwe

Ni wachache sana waliouepuka huu mtego
 
View attachment 992409
Genevieve Nnaji has become Nollywood’s first Billionaire as Netflix reportedly buys her movie LionHeart for $3.8million (N1,051,297,231).

Historic. [emoji1184]
Wasanii wa Bongo haswa Movies ili wafikie level za Genevive au Lupata lazima wajiendeleze kielimu haswa language za nje kama Eng, Frnch, Grmn, Spanish nk ili wawe na uwezo wa kuongea na wasanii wa mamtoni, vilevile wawe wabunifu siyo kuiga story za movie za wenzao hafu wao wakaigiza kwa kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mdada yupo level nyengine. Na maisha yake ameyaweka so private. Movie zake ni za kuchagua mno kwa kuwa ameshajiwekeza kimaisha
 
msitake kuwatukana wasanii wetu kuwa hawana aadili
hata huyu Bibie katungikwa mimba angali mdogo hata 18yrs hajafika na hakujua km ana mimba
km usomi tunao pia wasomi kuliko Geneivi-eve Nnaji
Genevieve Nnaji Daughter
Nnaji has a daughter by the name Theodora Chimebuka Nnaji. “Dora” as she is fondly referred to, is well protected from the public hence, not much is known about her.
According to the Nollywood actress in an interview, she gave birth to her baby girl at the age of 17. She explained that she didn’t know she was pregnant until her mom discovered it. Since she was from a Catholic family she had to keep the baby as abortion was against their beliefs. After her birth, Chimebuka was raised by her grandmother.
1547308410821.png

Mama kulia Genevieve na bintie Theodora
Genevieve Nnaji and her Daughter TheodoraGenevieve Nnaji Daughter Father
Genevieve has never revealed who the father of her daughter is. This can be attributed to the controversies surrounding her pregnancy.
Watanzania pendeni vyenu
 
msitake kuwatukana wasanii wetu kuwa hawana aadili
hata huyu Bibie katungikwa mimba angali mdogo hata 18yrs hajafika na hakujua km ana mimba
km usomi tunao pia wasomi kuliko Geneivi-eve Nnaji

View attachment 992636
Mama kulia Genevieve na bintie Theodora

Watanzania pendeni vyenu

Is this relevant to this story?

Kwamba itabadilisha ukweli wowote kwenye ubora wa kazi zake?
 
Mimi nadhani hawa wasanii wetu wasilaumiwe sana kama ni vipaji wanavyo kinachokosekana hapa kwetu ni udhamini wa kuandaa hizi filam.

kuandaa filamu yenye level za kimataifa ni gharama kubwa sana na kiukweli nasema tena sisi sio wajanja sana kimataifa hatujui kumarket vitu vyetu na vipaji vyetu kwenye hili wasanii mnatakiwa muwe wajanja kujiconnect na udhamini mkubwa ili mtoe vitu moto..
 
Is this relevant to this story?
Kwamba itabadilisha ukweli wowote kwenye ubora wa kazi zake?
Huyu mdada yupo level nyengine. Na maisha yake ameyaweka so private. Movie zake ni za kuchagua mno kwa kuwa ameshajiwekeza kimaisha
muwe mnaangalia na upande wa pili wa shilingi sio kila kitu kusifia na kuponda vya kwenu
kwa wapenda filamu za Nollywood wageni msiomjua wengine hatushangai lkn ingieni search ndio mje kusifia
 
muwe mnaangalia na upande wa pili wa shilingi sio kila kitu kusifia na kuponda vya kwenu
kwa wapenda filamu za Nollywood wageni msiomjua wengine hatushangai lkn ingieni search ndio mje kusifia

Watu wanajadili ubora wa kazi, nidhamu ya kazi, kujielimisha ili uendelee kuwa vizuri upate big deals.

Wewe unazungumzia personal life.
 
Watu wanajadili ubora wa kazi, nidhamu ya kazi, kujielimisha ili uendelee kuwa vizuri upate big deals. Wewe unazungumzia personal life.
Acha uboya wewe huyo ni Mtanzania? (ana mabwana wangapi na mmojawapo katembelea TZ)
ninyi ndio mnakuja kukataa kabila lako, unamkataa mzazi wako utaifa wako ili kujikweza
unaikataa Nchi yako unasifia Timu ya mpira ya nchi nyingine mavazi na hata akili
kwanini huo uzalendo usiwaletee wasanii wetu
mm nimekuambia angalia na upande wa pili wa huyo Dada hata km ana maendeleo ametembea na wangapi hata mume aliyezaa naye hamjui unona ni sifa zungumzia na wasanii wetu wafikie huko MSIWALAUMU
 
Back
Top Bottom