Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kutundikwa mimba tu huyu alikuwa mmoja wa makahaba mpaka michezo ya Amber Ruttymsitake kuwatukana wasanii wetu kuwa hawana aadili
hata huyu Bibie katungikwa mimba angali mdogo hata 18yrs hajafika na hakujua km ana mimba
km usomi tunao pia wasomi kuliko Geneivi-eve Nnaji
View attachment 992636
Mama kulia Genevieve na bintie Theodora
Watanzania pendeni vyenu
Acha uboya wewe huyo ni Mtanzania? (ana mabwana wangapi na mmojawapo katembelea TZ)
ninyi ndio mnakuja kukataa kabila lako, unamkataa mzazi wako utaifa wako ili kujikweza
unaikataa Nchi yako unasifia Timu ya mpira ya nchi nyingine mavazi na hata akili
kwanini huo uzalendo usiwaletee wasanii wetu
mm nimekuambia angalia na upande wa pili wa huyo Dada hata km ana maendeleo ametembea na wangapi hata mume aliyezaa naye hamjui unona ni sifa zungumzia na wasanii wetu wafikie huko MSIWALAUMU
Hiyo yote uliyoandika inajimuishwa kwenye UKOSEFU WA ELIMU!Mimi nadhani hawa wasanii wetu wasilaumiwe sana kama ni vipaji wanavyo kinachokosekana hapa kwetu ni udhamini wa kuandaa hizi filam.
kuandaa filamu yenye level za kimataifa ni gharama kubwa sana na kiukweli nasema tena sisi sio wajanja sana kimataifa hatujui kumarket vitu vyetu na vipaji vyetu kwenye hili wasanii mnatakiwa muwe wajanja kujiconnect na udhamini mkubwa ili mtoe vitu moto..
Wewe itakuwa ni Mmbongo Movie,sio kwa povu hiloAcha uboya wewe huyo ni Mtanzania? (ana mabwana wangapi na mmojawapo katembelea TZ)
ninyi ndio mnakuja kukataa kabila lako, unamkataa mzazi wako utaifa wako ili kujikweza
unaikataa Nchi yako unasifia Timu ya mpira ya nchi nyingine mavazi na hata akili
kwanini huo uzalendo usiwaletee wasanii wetu
mm nimekuambia angalia na upande wa pili wa huyo Dada hata km ana maendeleo ametembea na wangapi hata mume aliyezaa naye hamjui unona ni sifa zungumzia na wasanii wetu wafikie huko MSIWALAUMU
nitajie msanii mmoja bongo mwenye gari ya kifahariWa bongo limbukeni imezidi na roho ya ubinafusi ndomaana nivigumu kufanikiwa zaidi ya kununua gari ya kifahari na kujenga kajumba ka gharafa moja......
Sent using Jamii Forums mobile app
nitajie msanii mmoja bongo mwenye gari ya kifahari
She is my longtime crushView attachment 992409
Genevieve Nnaji has become Nollywood’s first Billionaire as Netflix reportedly buys her movie LionHeart for $3.8million (N1,051,297,231).
Historic. 🇳🇬
Bachelor ya udangaj na kiki. Sorry but haya ndio maisha halisi ya wasanii wa bongoTuanze kwanza kulinganisha elimu zao,huyu na hao wengine
huyo ana Bachelor degree in Creative Arts,hao wengine wana elimu gani?
Acha zako km wanafanya kazi nzuri kuliko za bongo movies tusiwasifie!???Acha uboya wewe huyo ni Mtanzania? (ana mabwana wangapi na mmojawapo katembelea TZ)
ninyi ndio mnakuja kukataa kabila lako, unamkataa mzazi wako utaifa wako ili kujikweza
unaikataa Nchi yako unasifia Timu ya mpira ya nchi nyingine mavazi na hata akili
kwanini huo uzalendo usiwaletee wasanii wetu
mm nimekuambia angalia na upande wa pili wa huyo Dada hata km ana maendeleo ametembea na wangapi hata mume aliyezaa naye hamjui unona ni sifa zungumzia na wasanii wetu wafikie huko MSIWALAUMU
Bongo PAPA [emoji23][emoji23][emoji23]...REST IN PEACE KANUMBA..Hawa siyo bongo movie, wanaitwa bongo chupi au bongo papuchi
there u are....hata hizo nyumba hawana....wanaishi kwenye vichochoro tu vijumba vibovu mikocheni chama pale ndani ndani kwa mitaa ya kina babuu wa kitaa au msasani bonde la mpungaHAKUNA na kama yupo basi hilo gari si lake, kahongwa. Angalia mademu wa bongo movie ama fleva....wengi wao wanaishi kwa migongo ya wanaume, wakiachwa na pango la nyumba pamoja na gari vinachukuliwa wanabaki na haibu. Wasanii wetu wana fake sana maisha.