Wasanii wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa msanii Genevieve wa Nigeria

a
msitake kuwatukana wasanii wetu kuwa hawana aadili
hata huyu Bibie katungikwa mimba angali mdogo hata 18yrs hajafika na hakujua km ana mimba
km usomi tunao pia wasomi kuliko Geneivi-eve Nnaji

View attachment 992636
Mama kulia Genevieve na bintie Theodora

Watanzania pendeni vyenu
sio kutundikwa mimba tu huyu alikuwa mmoja wa makahaba mpaka michezo ya Amber Rutty
 
Acha uboya wewe huyo ni Mtanzania? (ana mabwana wangapi na mmojawapo katembelea TZ)
ninyi ndio mnakuja kukataa kabila lako, unamkataa mzazi wako utaifa wako ili kujikweza
unaikataa Nchi yako unasifia Timu ya mpira ya nchi nyingine mavazi na hata akili
kwanini huo uzalendo usiwaletee wasanii wetu
mm nimekuambia angalia na upande wa pili wa huyo Dada hata km ana maendeleo ametembea na wangapi hata mume aliyezaa naye hamjui unona ni sifa zungumzia na wasanii wetu wafikie huko MSIWALAUMU

Utakuwa CCM wewe, napoteza muda wangu.
 
Mimi nadhani hawa wasanii wetu wasilaumiwe sana kama ni vipaji wanavyo kinachokosekana hapa kwetu ni udhamini wa kuandaa hizi filam.

kuandaa filamu yenye level za kimataifa ni gharama kubwa sana na kiukweli nasema tena sisi sio wajanja sana kimataifa hatujui kumarket vitu vyetu na vipaji vyetu kwenye hili wasanii mnatakiwa muwe wajanja kujiconnect na udhamini mkubwa ili mtoe vitu moto..
Hiyo yote uliyoandika inajimuishwa kwenye UKOSEFU WA ELIMU!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uboya wewe huyo ni Mtanzania? (ana mabwana wangapi na mmojawapo katembelea TZ)
ninyi ndio mnakuja kukataa kabila lako, unamkataa mzazi wako utaifa wako ili kujikweza
unaikataa Nchi yako unasifia Timu ya mpira ya nchi nyingine mavazi na hata akili
kwanini huo uzalendo usiwaletee wasanii wetu
mm nimekuambia angalia na upande wa pili wa huyo Dada hata km ana maendeleo ametembea na wangapi hata mume aliyezaa naye hamjui unona ni sifa zungumzia na wasanii wetu wafikie huko MSIWALAUMU
Wewe itakuwa ni Mmbongo Movie,sio kwa povu hilo

Acha zako km wanafanya kazi nzuri kuliko za bongo movies tusiwasifie!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUNA na kama yupo basi hilo gari si lake, kahongwa. Angalia mademu wa bongo movie ama fleva....wengi wao wanaishi kwa migongo ya wanaume, wakiachwa na pango la nyumba pamoja na gari vinachukuliwa wanabaki na haibu. Wasanii wetu wana fake sana maisha.
there u are....hata hizo nyumba hawana....wanaishi kwenye vichochoro tu vijumba vibovu mikocheni chama pale ndani ndani kwa mitaa ya kina babuu wa kitaa au msasani bonde la mpunga
 
Mbona ata Wema sepedele kauza sana copies za ela ote dingilae kwenye movie yake na Van vicker ila hapendagi Show Off
 
Back
Top Bottom