Wasanii wa Tanzania ni maskini wajao sema hawajajua tu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hakuna maisha watu ukiwauliza huko USA wanaweza kulaumu kama wasanii wa huko.

Wengi wanakwambia huku wakijua majuto mbeleni na hakuna mwenye ukweli. Ila wasanii wengi wameishia kuishi maisha ya ya kawaida kama wengine japo kudanya tu fake life
 
Ukweli ni kwamba maisha ya mitandaoni na uhalisia ni tofauti sana ,maisha ya watu wakuonayo kwa nje na ya ndani ni tofauti sana......Uswahilini kama asemavyo mgambo sele ukiwa na kajumba ka vyumba viwili na ka gari kadogo basi wewe ni tajiri,madereva wa bodaboda watakusifia sana jamaa ana mawe balaa!

Namkubali sana AY ,jamaa anaingiza mikwanja kimya kimya ,hajawahi kupost nyumba au biashara zake hata kidogo lakini watu wake wa karibu wanajua jamaa ana mipunga sana,tofauti na hawa wasanii waliopata ngekewa ya kupata pesa kutwa show-off ndiyo maana wakiwa wanadaiwa watu wanashangaa.
 
Ay anafanya biashara gani?
 
Navy Kenzo nao hawana makuu

Wametengeneza ka-navy mob na watoto wao, wamechill.
 
Anafanya issue nyingi sana ila zipo low profile ,hajaziweka wazi sana.
1.Boti za Usafiri (Yatch)- Short Trip
2.Promotional company/Promoters.
3.Real Estate
4.Production Indurstry
5.Maduka ya nguo.
Wewe umejuaje haya na anafanya vitu vya vyake kwa siri?!
 
Wewe umejuaje haya na anafanya vitu vya vyake kwa siri?!

Nimesema haweki mambo yake public ila watu wake wa karibu ndiyo wanajua.

Nakupa homework ushawahi kumuona Febraury Marope anavuta sigara? Ila watu wake wa karibu wanajua kwamba jamaa ni mvutaji mzuri sana wa sigara.....the same as AY watu wake wa karibu ndiyo wanajua biashara zake.....na hata alivyopata Bii moja ya tigo uliona amepiga Yowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…