Wasanii wa Tanzania ni maskini wajao sema hawajajua tu

Ukweli ni kwamba maisha ya mitandaoni na uhalisia ni tofauti sana ,maisha ya watu wakuonayo kwa nje na ya ndani ni tofauti sana......Uswahilini kama asemavyo mgambo sele ukiwa na kajumba ka vyumba viwili na ka gari kadogo basi wewe ni tajiri,madereva wa bodaboda watakusifia sana jamaa ana mawe balaa!

Namkubali sana AY ,jamaa anaingiza mikwanja kimya kimya ,hajawahi kupost nyumba au biashara zake hata kidogo lakini watu wake wa karibu wanajua jamaa ana mipunga sana,tofauti na hawa wasanii waliopata ngekewa ya kupata pesa kutwa show-off ndiyo maana wakiwa wanadaiwa watu wanashangaa.
 
Namkubali sana AY ,jamaa anaingiza mikwanja kimya kimya ,hajawahi kupost nyumba au biashara zake hata kidogo lakini watu wake wa karibu wanajua jamaa ana mipunga sana,tofauti na hawa wasanii waliopata kengewa ya kupata pesa kutwa show-off ndiyo maana wakiwa wanadaiwa watu wanashangaa.
Ay anafanya biashara gani?
 
Ukweli ni kwamba maisha ya mitandaoni na uhalisia ni tofauti sana ,maisha ya watu wakuonayo kwa nje na ya ndani ni tofauti sana......Uswahilini kama asemavyo mgambo sele ukiwa na kajumba ka vyumba viwili na ka gari kadogo basi wewe ni tajiri,madereva wa bodaboda watakusifia sana jamaa ana mawe balaa!

Namkubali sana AY ,jamaa anaingiza mikwanja kimya kimya ,hajawahi kupost nyumba au biashara zake hata kidogo lakini watu wake wa karibu wanajua jamaa ana mipunga sana,tofauti na hawa wasanii waliopata ngekewa ya kupata pesa kutwa show-off ndiyo maana wakiwa wanadaiwa watu wanashangaa.
Navy Kenzo nao hawana makuu

Wametengeneza ka-navy mob na watoto wao, wamechill.
 
Anafanya issue nyingi sana ila zipo low profile ,hajaziweka wazi sana.
1.Boti za Usafiri (Yatch)- Short Trip
2.Promotional company/Promoters.
3.Real Estate
4.Production Indurstry
5.Maduka ya nguo.
Wewe umejuaje haya na anafanya vitu vya vyake kwa siri?!
 
Nimesema haweki mambo yake public ila watu wake wa karibu ndiyo wanajua.

Nakupa homework ushawahi kumuona Febraury Marope anavuta sigara? Ila watu wake wa karibu wanajua kwamba jamaa ni mvutaji mzuri sana wa sigara.....the same as AY watu wake wa karibu ndiyo wanajua biashara zake.....na hata alivyopata Bii moja ya tigo uliona amepiga Yowe?
 
Back
Top Bottom