Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Diamond wa kawaidaMbona hawagombanii kupiga picha na diamond
Anakipenda Ila ndo hivo kinamkimbia[emoji23] [emoji23]Yaan kati ya watu wanaonichekeshaga ni shilole aongee kitu lokosekane neno la kukuchesha mh sijawahi ona jaman sasa hapo kwa wizkid kumuuza do you see me kulikuwa na haja gani wakati wako wote dada shishi bado unasafari ndefu ya kiingereza
Yaan anakipenda lakin ndo hivyo hahahahaAnakipenda Ila ndo hivo kinamkimbia[emoji23] [emoji23]
Ata Mimi hicho ndo ninachompendea shishinacho kubali shishi aoni aibu kwamba anajaribu mbona mzungu akiongea kiswahili broken hatushangai
Ana uthubutu huyu mwanamke!Ata Mimi hicho ndo ninachompendea shishi
Mzee mdananda naya alipata picha na wiz
Wasanii wa Tanzania wameonekana katika video fupi ikiwaonyesha wanagombania kupiga picha na msanii Wizkid!
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Naomwona hapo nyuma billnas anamshangaa
NDEGE wanaofanana huruka pamoja..!halafu kuna wapuuz wanamlinganisha diamond na wizkid dahh
HA HA HA HA kila mmoja anajitahidi kuongea kimombo....Hahahaaa shishi baby ananifurahishaga, eti "hey u see me" [emoji23] [emoji23] wiz kid kaz anayo
Samawani lakini..,Wasanii wa Tanzania wameonekana katika video fupi ikiwaonyesha wanagombania kupiga picha na msanii Wizkid!
Msanii bora Africa kwa sasaWizkid ndio msanii wa wapi.
[emoji445]Caro ya body is....Yagaa
Nimekasirika ulivyomjibu,hii ni dharau kubwa.Msanii bora Africa kwa sasa