Wasanii wa Tanzania wagombania kupiga picha na msanii Wizkid!

Wasanii wa Tanzania wagombania kupiga picha na msanii Wizkid!

Yaan kati ya watu wanaonichekeshaga ni shilole aongee kitu lokosekane neno la kukuchesha mh sijawahi ona jaman sasa hapo kwa wizkid kumuuza do you see me kulikuwa na haja gani wakati wako wote dada shishi bado unasafari ndefu ya kiingereza
Anakipenda Ila ndo hivo kinamkimbia[emoji23] [emoji23]
 
1471848739745.jpg
 
Wasanii wa Tanzania wameonekana katika video fupi ikiwaonyesha wanagombania kupiga picha na msanii Wizkid!

Sijui atakuwa kalala na malaya gani
Last tym gigy aliambulia producer wa Tecno [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasanii wa Tanzania wameonekana katika video fupi ikiwaonyesha wanagombania kupiga picha na msanii Wizkid!

Samawani lakini..,
Eti unaongelea wasanii wa Tanzania au wasanii wa Dar?[emoji84] [emoji84] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom