BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Huyo ndio starboy number 1" wizy anajua sana alaf kamwili kadogo 2..[emoji445]Caro ya body is....
Aaaahhhh....[emoji445]
Haka kajamaa kanajua bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndio starboy number 1" wizy anajua sana alaf kamwili kadogo 2..[emoji445]Caro ya body is....
Aaaahhhh....[emoji445]
Haka kajamaa kanajua bwana.
Kwani kimwili kanahusiana vipi na muziki mkuu?Huyo ndio starboy number 1" wizy anajua sana alaf kamwili kadogo 2..
Hakana uhusiano ila mambo makubwa kanayofanya u can't imagine" ingekua wengne wangeanza kupiga nondo kujisexisha [emoji1] [emoji1]Kwani kimwili kanahusiana vipi na muziki mkuu?
Ooooooh sasa nimekupata jirani,uko sahihi kabisa [emoji122][emoji122]Hakana uhusiano ila mambo makubwa kanayofanya u can't imagine" ingekua wengne wangeanza kupiga nondo kujisexisha [emoji1] [emoji1]
[emoji445]Caro ya body is....
Aaaahhhh....[emoji445]
Haka kajamaa kanajua bwana.
[emoji445]Am looking for Caro...YeahhhCaro your body necessary...ah necessary
Caro carry leave story....aahh leave story
Caro dey make my head turn
Caro dey make me wan lose am
Caro dey make my head dey bang
Caro dey make my head dey scatter
Baby carooo.......!!
Asee the boy is so talented
Still looking for caro....ehhe[emoji445]Am looking for Caro...Yeahhh
Sweet Caro[emoji445]
Caro ni noumahhh napenda zile movement za barabarani.
Bonge la kideo,bonge la wimbo [emoji122]
Jamaa kashirikishwa lakini kamfunika mwenye wimbo.
Still looking for caro....ehhe
Show me caro....ehhee
where are you caro...ehee
Sis carooo....!
Wizzy alimfunika sana L.A.X japo nae kuna mistari mitamu kwenye verse alizoimba.
Caro fine plenty plenty...
Caro sweet no get enemy...
Sexy girl you know I bring it down
Starboy you know we shut it down...ooh yes
Anything we touch na gold now
Don't dull I no need it now
I want to spend all my paper.
Caro ni demu ambae inasemekana ana kila sifa na ni kiu ya kila mwanaume na hawajui yuko wapi watampataje na wao wako tayari kumpata kwa gharama yoyote ile.
Caro your body necessary......aah necessaryNa pale Wiz anapolalamika
Caro Body,Caro Body...
Aaaaah Caro Body
Achaaaaa
Hii ikoje mkuu?Ni story za kusadikika au?
Wasanii wa Tanzania wameonekana katika video fupi ikiwaonyesha wanagombania kupiga picha na msanii Wizkid!
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi,tumekuwa na chit chat nzuri sana.Caro your body necessary......aah necessary
Caro you carry leave story.....ahaa leave story
baby carooo... yerrra
Hapa nadhani alimaanisha anahitaji mwili wake kwa hali na mali.
Huo wa pili alimaanisha kuwa huyo demu ni mzuri kiasi kwamba ni talk of the town.
Kuhusu nyimbo sina hakika sana kama ni kisa cha kweli au walitunga tu.
Ninavyofahamu mimi Ojuelegba ndio nyimbo inayobeba kisa cha kweli ambacho ni maisha yake mwenyewe binafsi...., kwanzia mwanzo hadi mwisho anaelezea struggles alizopitia kabla hajatoka kimuziki na kuwahasa wengine wasikate tamaa.
Hata neno lenyewe Ojuelegba lina maana ya community flani uko nigeria anakotoka huyo Wizkid.
"In ojuelegba they know my story"