Rubbish! Kuna watu humu unawafikira (maana huwajui) kama reasonable people kumbe Mhhhh! Is it healthy Mkuu kutotuma rambirambi? Unalisemeaje hilo!Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Acha siasa za kijinga kwenye msiba hakuna siasa.Wasanii walimwambiaga mh mbona ututetei bungeni akawajibu Mimi siyo mbunge wa wasanii, miye ni mbunge wa wana mbeya akaongeza pia kuwa kipindi anaomba ubunge uko mbeya wasanii hawakwenda masapoti kwaiyo wamuache
My take
Msitusumbue wasanii sugu alishaga tukataa wenzake alisema yeye ni mbunge wa mbeya so ngoja afike mbeya wanainchi watajaa kwake kwa wing tu.
Magigizi nimewasema wasani kwa maana yule ni msani mwenzeo, Kama unaweza kuwa na ushaidi unaweza kuongea kwanini chama chake hawakuenda, sina details nao mimi nasema ninacho kiona.Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Najilaumu kwa nini nimefungua na kusoma hii mada ya kipumbavu.Wadau.
Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.
Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea itafika mahali mtu atakuta mtu ambae sio wa chama chake kapata ajali atashindwa kumsaidia
Yani sugu pamoja na heshima aliyonayo kwenye mziki wa bongo flavor leo kafiwa na mzazi mmeshindwa hata kwenda msibani
Asante suma G, Kala Jeremiah, papi choka na Nguza Viking kwa kushiriki ibada ya kumuombea mama yetu
Nasema kuna maisha baada ya unafiki.
mr mkiki
Kwanza nimshukuru sana Mungu kwa kuzuia wanafiki wenye akili za kichawi kutoka ccm kwenda kwenye msiba huu , hii ni baraka kwa mama yetu , Msiba ukihudhuriwa na wachawi roho ya marehemu huishia ardhini tu .Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Wewe umeaza kuona ujinga leo kama 1.5T kusema CAG haipo wewe ukampingaNajilaumu kwa nini nimefungua na kusoma hii mada ya kipumbavu.
Halafu na wewe unaongeza upumbavu mwingine. Kwa nini lakini?Wewe umeaza kuona ujinga leo kama 1.5T kusema CAG haipo wewe ukampinga
Siwezi kukushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe!Jomoniiiii!!!!!!
Kwani nao wameogopa kwenda? Ishu ya wasanii ni kweli kabisaKwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
NENOUsimpangie mtu kitu cha kufanya kila mtu ana busara zake mi sidhani kama kutokwenda eti kuna mtu wanamuogopa nadhani sometimes tufikirie pande zote mbili tusije kufikiria upande mmoja tu wa siasa
NoteUsimpangie mtu kitu cha kufanya kila mtu ana busara zake mi sidhani kama kutokwenda eti kuna mtu wanamuogopa nadhani sometimes tufikirie pande zote mbili tusije kufikiria upande mmoja tu wa siasa