Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Hao ni Kunguru?Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Sio kweli, yeye hahudhurii misiba ya wasanii wenzake. Ni kama amejitoa kwenye status ya sanaa na kubaki na status ya ubunge. Sasa kama yeye hashiriki misiba ya wasanii wenzie wenyewe watakujaje? Kwani hakuna wasanii waliopo chadema na hawakuhudhuria?Wadau.
Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.
Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea itafika mahali mtu atakuta mtu ambae sio wa chama chake kapata ajali atashindwa kumsaidia
Yani sugu pamoja na heshima aliyonayo kwenye mziki wa bongo flavor leo kafiwa na mzazi mmeshindwa hata kwenda msibani
Asante suma G, Kala Jeremiah, papi choka na Nguza Viking kwa kushiriki ibada ya kumuombea mama yetu
Nasema kuna maisha baada ya unafiki.
mr mkiki
View attachment 849586
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyelaumu ni nani? Umemsikia Sugu ametamka kitu? Ndio nimekwambia tumia akili. Aliyelalamika ni aliyepost hapa, nothing to do with Sugu.Mjibee bee sasa mnalaumu nini sisi kutoonekana kwa Mr 2
Haya jibebe haya jibebe bebeAliyelaumu ni nani? Umemsikia Sugu ametamka kitu? Ndio nimekwambia tumia akili. Aliyelalamika ni aliyepost hapa, nothing to do with Sugu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa nakuona kama jiwe, samahani kama utaona nimekufananisha na kitu kibaya, ila lengo ni kukusifia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa nakuona kama tope, tena bila samahani.