Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?

Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?

Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!

Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!

Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Hao ni Kunguru?
Screenshot_20180829-151052.png
 
Wadau.

Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.

Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea itafika mahali mtu atakuta mtu ambae sio wa chama chake kapata ajali atashindwa kumsaidia

Yani sugu pamoja na heshima aliyonayo kwenye mziki wa bongo flavor leo kafiwa na mzazi mmeshindwa hata kwenda msibani

Asante suma G, Kala Jeremiah, papi choka na Nguza Viking kwa kushiriki ibada ya kumuombea mama yetu

Nasema kuna maisha baada ya unafiki.

mr mkiki

View attachment 849586

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, yeye hahudhurii misiba ya wasanii wenzake. Ni kama amejitoa kwenye status ya sanaa na kubaki na status ya ubunge. Sasa kama yeye hashiriki misiba ya wasanii wenzie wenyewe watakujaje? Kwani hakuna wasanii waliopo chadema na hawakuhudhuria?
 
Ukitaka kila mtu ahudhurie kwenye msiba ukifiwa utapata taabu sana. Hivi nikuulize wasanii wangapi walihudhuria msiba wa mama yake ladyjaydee. Hata hivyo wasanii wengi hupenda kuhudhuria misiba yenye kiki. Mfano mtoto wa Muna et al

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom