.
Ana maanisha ali shinda u miss akiwa na miaka 14 au?
Teh ukimbaatisha hata akihojiwa 2015 atasema ana 23
Sepetu namba 1 kila siku ana miaka 23 mmmh
Acha kumuongezea ana 22 tu toka mwaka juzi
ile ya mara ya pili kalifanya ili kajinasue katika yale matatizo.....ile ya kwanza ndio ilikuwa real mi nnavyohisikale si kanamatatizo
.
Kalifanya mara ya kwanza ili karuhusiwe kwenda clabu lol
.
.
Ahaaaaaa yale ya anko jj
haa haaa yule mwingine kafanya birthday ya 18 yrs mara mbili...kwi kwi kwi majangaz
Acha kumuongezea ana 22 tu toka mwaka juzi
Sepetu namba 1 kila siku ana miaka 23 mmmh
Wadau Hailengi Tasnia Fulani
.
Si Wasanii wa Muziki, sio Bongo movies.....
.
Asilimia kubwa sana hawapendi miaka yao iwe wazi kwa mashabiki wakiwa hai Tunakuja kujua mara Baada Ya kuiaga Dunia
.
Utasikia ''amefariki akiwa na miaka.....'' n.k
.
Hivi sababu hasa ni nn?