Wasanii Wa Tz Hawapendi Tujue Miaka Yao Wakiwa Hai

Wasanii Wa Tz Hawapendi Tujue Miaka Yao Wakiwa Hai

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Wadau Hailengi Tasnia Fulani, Si Wasanii wa Muziki, sio Bongo movies.

Asilimia kubwa sana hawapendi miaka yao iwe wazi kwa mashabiki wakiwa hai Tunakuja kujua mara Baada Ya kuiaga Dunia

Utasikia ''amefariki akiwa na miaka...'' n.k

Hivi sababu hasa ni nini?
 
haa haaa yule mwingine kafanya birthday ya 18 yrs mara mbili...kwi kwi kwi majangaz

kale si kanamatatizo
.
Kalifanya mara ya kwanza ili karuhusiwe kwenda clabu lol
.
 
kale si kanamatatizo
.
Kalifanya mara ya kwanza ili karuhusiwe kwenda clabu lol
.
ile ya mara ya pili kalifanya ili kajinasue katika yale matatizo.....ile ya kwanza ndio ilikuwa real mi nnavyohisi
 
ile ya mara ya pili kalifanya ili kajinasue katika yale matatizo.....ile ya kwanza ndio ilikuwa real mi nnavyohisi

.
Ahaaaaaa yale ya anko jj
 
Wadau Hailengi Tasnia Fulani
.
Si Wasanii wa Muziki, sio Bongo movies.....
.
Asilimia kubwa sana hawapendi miaka yao iwe wazi kwa mashabiki wakiwa hai Tunakuja kujua mara Baada Ya kuiaga Dunia
.
Utasikia ''amefariki akiwa na miaka.....'' n.k
.
Hivi sababu hasa ni nn?

elimu ndio uti wa mgongo..

kila mwaka happy birthday.!

but other things remain constant!
 
Back
Top Bottom