Wasanii wabongo na nyumba za kupanga


ommy dimpoz anajenga,,tena nyumba mbili kwa mpigo..so acha zako za kuleta.
 
Hatuna umaarufu lakini tutaendelea kuwapangisha mpaka mtie akili..!
 

ni kweli!

sio wote wanaotanga tanga wamepotea!
 
shule mjomba,shuuuuleee:......amna kingine yan/ushamba kivumishi2!!

kweeeliii!! ... kweeeli mjomba!!

mi huwa nasema always sisi wasanii shule hamna!!

how comes mtu anapata 200m abraptly from nowhere anaishi maishi ya juu..!!

then, from nowhere again anapotea na kushindia 'unga'?

aaaggghh!!!

mimi ndo maana niliweka ndoto ya kuingia kwenye sanaa nikifika ngazi ya chuo kikuu!!

-----------------------------------
nashukuru nimefanikiwa
-----------------------------------
 
wanapenda masifa tu,
ili wauze kwenye magazeti
utasikia tu kwenye ile nyumba kulikuwa hakuna air condition so nimepangisha nyumba nyingine.
 
Nadhani wanaishi kwa style ya Wahindi hapa Nchini.
 
We umejenga? Kwa huu uchambuzi wako kama we ni wa kiume ndio basi tena... fanya yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…