Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIli suala limekuwa likiniumiza sana kichwa kama mdau wa burudan apa bongo,aswa hil suala la wasanii wetu kuendekeza sifa za kijinga huku wakiish nyumba za kupanga.ni juzi tu nimetoka kusikia eti jackline wolper na baby madaha wanagombania nyumba ya kupanga,what a shame?,binafsi sikumshangaa baby kuhus hil ila huy bi shost mwingine ambaye kabatizwa majina lukuki kutokan na kufuru zake za pesa anazozifany kila kukicha,kwel msanii unanunua/kuhongwa gari la mamilion ya shilingi kumbe hata kiwanja hauna?,aibu gani hii,aya umeenda kupanga nyumba mbezi beach ya gharama ya juu,ili tu umrushe roh wema sepetu,kwa maisha unayoish hat ile milion kum na tan uliotoa kwa sajuki kwangu mimi bure kabis kwa maisha unayoish ya kutanga tanga na kugombea nyumba za kupanga,si bora ungegombea kiwanja?,mweeh kwel ustaa bongo kazi,haya ukistaajabu ya wolper utayaona ya ommy dimpoz kuhama mikocheni had sinza huku akimilik gar leny thaman sio chin ya milion arobain,wasanii lazima mjitambue leo hii mpo on top kesho mkibuma mtakimbilia wap??,hii ni aibu sana kwa wasanii wetu,mnajifany filamu moja mnalipw milion kumi huk hata kiwanj hamna mnatak sifa kwa nani?
Waxenge
Ulikuwa wamaanisha Was.enge!
kizazi cha Mulugo....Big results nowHapana kuManisha uxenge na use.nge ni vitu vitatu vinavyofanana
Mambo ya wengine iweje yakuumize kichwa wewe? Huna ya kwako?
ommy dimpoz anajenga,,tena nyumba mbili kwa mpigo..so acha zako za kuleta.
kuishi nyuma ya kupanga siyo kwamba ndo hawajajenge nyumba zao,
wapo wasanii ambao wamejenga nyumba nje kidogo ya jiji kitu ambacho
kwao hawakipendi kuishi pembezoni mwa mji; so wanaamua kupanga ili wawe
town na wapate urahisi wa kufanya kukurukakara zao huku town.
Waxenge
shule mjomba,shuuuuleee:......amna kingine yan/ushamba kivumishi2!!
sasa we nae naona unafulia kimya kimya!!
haujui kwamba hawa ndo waifunzao jamii?
kizazi cha Mulugo....Big results now
mmh yaani swala la kina wolper kupanga likuumize kichwa.........,
mkuu kama ni hivyo mbona utaumizwa kichwa chako na mengi sana