Wasanii wabwia UNGA

Ukosefu wa Elimu ni tatizo kubwa kwa hawa vijana. Umbumbu wa mji unawachanganya zaidi.
 

Mkuu muuza sura kweli unawapata Dogo Amidu(Banyenda) ndo gari la powder ashaenda sana nje na kubebeshwa unga alivyorudi ndo kafungua duka la pamba studio 26
 
naomba kuuliza japokuwa natoka nje ya maada
nasikia kuwa HALIMA MDEE nae anakula haya madude
 

we habar zako za ubabaishaj 20% amedakwa na gm 20 sio kg 20 na izo gm 20 ni stick 2 tu ambazo ye mwenyewe anasema zilikua kwenye dash board na hajui ziliwekwa na nan coz kwenye gar hakua peke yake kulikua na wacheza shoo na wa2 wengine hapo ndan we unatangaza kilo 20 utazan we ndo ulomkamata na unakidhibiti.
 

Mkono umeteleza najua kilo 20 duuu,hahaha I meant 20 grams
 

and it is true, ndo maana machangu huwaaktaa mateja
 
tunawasaidiaje badala ya kuwananga humu...hilo ndo lamuhimu aisee
 
Wengine kwa hayo majina hatuwajui, tubandikie picha zao, tuwaombee Mungu awaondoshee kama ni kweli.
 

Unanifanya nianze kuwa na wasiwasi kwani mbunge wangu aka SUGU. na kama yupo live hebu apite mbele ya mada hii atoe koment zake. na pili kama ikibidi afanye juu chini kuanzisha advertse nyingine kwa wasanii wenzie kuacha kutumia ulevi huu badala ya kuendeleza vita na akina Ruge pekee kwa albam ya antivirus
 
Wameacha bangi, now wameamia kwenye cocaine.
 
Wengine kwa hayo majina hatuwajui, tubandikie picha zao, tuwaombee Mungu awaondoshee kama ni kweli.

wewe unasema kama ni kweli,yaani huna habari kuwa 20% juzi tu kakamatwa na kilo kadhaa za bange? yoooooooooooooooote haya ni ya kweli hakuna anayezingiziwa hapa labda Mzee Komba,ila hao wengine mhhhhh
 
Mkuu muuza sura kweli unawapata Dogo Amidu(Banyenda) ndo gari la powder ashaenda sana nje na kubebeshwa unga alivyorudi ndo kafungua duka la pamba studio 26

umenikumbusha kunasiku alikuwa anafanyiwa mahojiano na redio one kuhusu safari zake za nje, akasema alishawahi kufungwa huko majuu ndiyo akawa anaeleza kuhusu hizo namba na maana zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…