Wengine kwa hayo majina hatuwajui, tubandikie picha zao, tuwaombee Mungu awaondoshee kama ni kweli.
kama uliweza kumlaani marehemu usiyejua kosa lake, utaweza kumuombea aliye hai ambaye naye humjui? mbona ni kama kioja vilee!
Mmemsahau kamanda Mbowe
Muongo mkubwa wewe. Nioneshe ni wapi nilimlaani marehemu au nilisema nini kumlaani huyo marehemu> kwanini mnapenda kusema uongo na kuwazulia wenzenu mambo yasiyo kuwepo? Hiyo ya kuwazulia wenzako uongo ni laana pia.
Mmemsahau kamanda Mbowe
Mulimpelekea mzigo gani?bange?wema sepetu anaanza kama masihara kuwa nyoka nae!si la kuambiwa kwa macho yangu nilikiuwa na mwanangu mmoja tulimpelekea mzigo sinza ila diamond alikuwa hajui na demu alikuwa anamficha dogo!......
tunawasaidiaje badala ya kuwananga humu...hilo ndo lamuhimu aisee
Lakini watu wengi wa Musoma Bange ni mboga.Lady jaydee hali unga..ye ni bange tu.
wema sepetu anaanza kama masihara kuwa nyoka nae!si la kuambiwa kwa macho yangu nilikiuwa na mwanangu mmoja tulimpelekea mzigo sinza ila diamond alikuwa hajui na demu alikuwa anamficha dogo!......
wema sepetu anaanza kama masihara kuwa nyoka nae!si la kuambiwa kwa macho yangu nilikiuwa na mwanangu mmoja tulimpelekea mzigo sinza ila diamond alikuwa hajui na demu alikuwa anamficha dogo!......
Yule rapa ombaomba wa twanga kuna siku alifanya kioja cha mwaka,alivuta mpaka akajinyea kwenye suruali. Yule kaoza kabisa.
Mulimpelekea mzigo gani?bange?
unauza unga???