ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,652
Wengine kwa hayo majina hatuwajui, tubandikie picha zao, tuwaombee Mungu awaondoshee kama ni kweli.
kama uliweza kumlaani marehemu usiyejua kosa lake, utaweza kumuombea aliye hai ambaye naye humjui? mbona ni kama kioja vilee!