Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nimeona wasanii wamejiongeza kwa kwenda kumuunga mkono mama Samia kupewa uenyekiti wa CCM.
Nimependa ubunifu waliofanya, TShirt ni nzuri na zinaonyesha wapo tayari kumuunga mkono mama Samia.
Kwa hakika mama Samia anapendwa Sana, hivyo kwa pamoja tumtakie mama Samia uenyekiti mwema kuelekea tarehe 30.
Wale wengine wa kile chama pelekeni malalamiko yenu kwa shibuda, mama atayakuta huko.