Wasanii wachapisha T-shirt za kwenda kumuunga mkono Mama Samia April 30, kweli CCM ni Raha

Wasanii wachapisha T-shirt za kwenda kumuunga mkono Mama Samia April 30, kweli CCM ni Raha

Nimeona wasanii wamejiongeza kwa kwenda kumuunga mkono mama Samia kupewa uenyekiti wa CCM
Nimependa ubunifu waliofanya, TShirt ni nzuri na zinaonyesha wapo tayari kumuunga mkono mama Samia.
Kwa hakika mama Samia anapendwa Sana, hivyo kwa pamoja tumtakie mama Samia uenyekiti mwema kuelekea tarehe 30.
Wale wengine wa kile chama pelekeni malalamiko yenu kwa shibuda, mama atayakuta huko.
View attachment 1763726
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] atayakuta huko sio
 
Back
Top Bottom