Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Wewe unasaka nini?Hao ni wasaka fursa!
Anataka akawauze Dodoma kipindi cha mkutano.Na hilo wazo lazima limetoka kwa huyo jamaa mfupi,
Hata hivyo wamependeza hasa hao wa Njano.
Wanapigia deki kama sio kufutia miguuZile T-shirt walizochapisha kipindi kile za kumuunga mkono Magufuli sasa hivi ziko wapi?[emoji848][emoji848][emoji848]
Ndio zake huyo mzee wa Fursa,Anataka akawauze Dodoma kipindi cha mkutano.
Za Mama nazo kuna siku watapigia deki?🤔🤔🤔Wanapigia deki kama sio kufutia miguu
Steve mzee wa fursa.Nimeona wasanii wamejiongeza kwa kwenda kumuunga mkono mama Samia kupewa uenyekiti wa CCM
Nimependa ubunifu waliofanya, TShirt ni nzuri na zinaonyesha wapo tayari kumuunga mkono mama Samia.
Kwa hakika mama Samia anapendwa Sana, hivyo kwa pamoja tumtakie mama Samia uenyekiti mwema kuelekea tarehe 30.
Wale wengine wa kile chama pelekeni malalamiko yenu kwa shibuda, mama atayakuta huko.
View attachment 1763726
Lazima kutakuwa na PIMP anayeratibu hizi shughuli za hawa wasanii, wanaonekana wanapenda sana wanatamani ingekuwa kila mwezi.Mafuska at work
Halafu huyu jamaa mfupi kwa kupenda ujiko kwa wanaume kajiphotoa peke yake ila warembo kawaphotoa wengi, huyu jamaa ana kiherehere cha kujikomba hadi kichefuchefuNa hilo wazo lazima limetoka kwa huyo jamaa mfupi,
Hata hivyo wamependeza hasa hao wa Njano.