'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

Listi ako mtoe Nay wa mitego Huyo jamaa anajua pia country boi anaweza sana mi naelewa sana this guys
 
Sijui kama unamjua country Boy "Ghadafi"
hamjui hiyooo... kiufupi wengi wanajudge lakin hawaujui muziki mtu kama wakazi unasemaje aache game, mtu kama lady jaydee the legend Ahahahahha discon wapo masai tayari
 
Hemed is nice ila hamisa Hapana kubwaaa
Masanja ndo kabsaa anatumia ufamous hakuna kitu
 


Asilimia 99.9 ya wasanii wa Bongo Fleva si wanamuziki kwani wote ni fake tu.
 
Masanja mkandamizaji ni matumizi mabaya ya injili.... gospel isitumike kwenye utakatishaji
 
Apa mtoe country boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…