Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu