'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

Lady Jay Dee???
 
BABA-DIAMOND aachane na music, akomae tu kutibiwa miguu yake kisha ale matunda ya mwanae lkn mziki hauwezi kabisa huyu mzee!
 
Inawezekana hata P Funk hajui Muziki?maana kuna interview naye alisema Hemedi hajui kuimba yupo flat
Hemed ni mtunzi mzuri wa nyimbo ila kwenye vocal hayuko vizuri sana...Ila sishangai maana kwenye suala zima la uimbaji mzuri wenye kufuata sheria za muziki sidhani hata kama tunao wasanii watano..

Hapo ndipo utakapokubaliana na P funk wengi wanaimba Flat,Off Key,ila wanabebwa na utunzi mzuri na Producers.
 
Mzee..nakuhakikishia tu hata kurap hao hawajuiii..vina vyao havina urari ...mashairu yao wanayatunga kama hawakula before..ndio maana nyimbo zao haziishi..zaidi ya wiki..zinakuwa zimekufaaa..hats huyo sugu ndio kabisaaa yanii..hajui..hajui..hajuiii..ukiniambia prof jay kidogo nitakuelewa...

Tukubali..wasanii wetu hawa wanafanya usanii kwenye sanaa ya muziki..na sio kwamba ni talented..

Ni vile tu wameijukta jamii nayo haijui muziki mzuri ndio maaana wanajikuta jamii inawapokea tuuu.

Ukitaka kujua nalosema ..tazmaa trend ya qasnii wetu kwenye tuzo za kimataifa..no zerooo..hii maana take nii hawana kitu kipya zaidi ya kuomba tyoo...yoo..yoo..whatsapp.sasa hapo ndio ???

Toka nzei za kina Hugo sugu hadi sasa kina diamond hakuna..huwa wanajitahidi kwa mwaka Mara moja ..tu na tena kwa bahati bahati tuuu
 
Ungetulia uandike vizuri mzee
 
Mb0so, nedy, jux, Aslay, Mwanafa. Chuki binafsi
 
Hamisa na mkweo muziki si kipaji mwachieni mondi ninyi hapana mnatuumiza masikio maana ni kelele tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…