Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lady Jay Dee???bob junior
spack - mzee wa ombi langu
tunda man
Masanja Mkandamizaji
Nuh mziwanda
Shilole
Lady Jaydee
Mesen selekta
hawa watu hawaimbi ila wanalia, bob junior awe mtayarishaji pekee inatosha, spark awe mtunzi inatosha, tunda mani acha kabisa mziki haukuhusu unapoteza tu hela zako. tunda ni mwigizaji mzuri sema hajajijua tu. We masanja bora ubaki kua pastor. Nuh ajaribu fani ya kuchana ila kuimba hapana. Shilole sauti ni zero anabebwa na mabiti tu, bora aendeleze biashara yake ya pishi watu wameielewa ila sio kuimba. ukweli mchngu ila jide sauti nzuri ya kuimba hana!. we mesen sauti ya kuimba huna, ukijua kupiga biti haimaanishi kuwa ndo ujue na kuimba, watengenezee midundo raia ila sauti ya kuimba hapana.
DUU HUNA UNDUGU NA STEVE YULE CELEBRITY MREFU ZAIDI NCHINIOMMY DIMPOZ mzee wa wanjela ni wakati sasa wa kutundika daluga.Ameisha
Hemed ni mtunzi mzuri wa nyimbo ila kwenye vocal hayuko vizuri sana...Ila sishangai maana kwenye suala zima la uimbaji mzuri wenye kufuata sheria za muziki sidhani hata kama tunao wasanii watano..Inawezekana hata P Funk hajui Muziki?maana kuna interview naye alisema Hemedi hajui kuimba yupo flat
Mzee..nakuhakikishia tu hata kurap hao hawajuiii..vina vyao havina urari ...mashairu yao wanayatunga kama hawakula before..ndio maana nyimbo zao haziishi..zaidi ya wiki..zinakuwa zimekufaaa..hats huyo sugu ndio kabisaaa yanii..hajui..hajui..hajuiii..ukiniambia prof jay kidogo nitakuelewa...Naona wengi wenu mnashindwa kutofautisha kuimba na kurap/kuchana
Sasa kama wewe umemuweka Mwana FA kwenye list yako eti aache kuimba hv huyo anaimba au anachana?
Ungemtaja King Crazy GK wa East cost Team hapo sawa, maana yule aliimba kwenye wimbo wake mmoja hivi unaitwa Baraka au Laana kamshirikisha Yuzo ila verse ya mwisho alichana
Sasa vuta picha GK na ule uongeaji wake (sijui ni kigugumizi au nini) kisha aimbe
N.B;
Kama unajijua hupendi nyimbo za kuchana au kurap, mtuachie sisi hao wasanii ndo tunaowajua maana wengi wenu mmeanza kufuatilia Bongo fleva baada ya Diamond kujulikana
Sisi tulioanza enzi zile unaitwa muziki wa kihuni hakukuwa na msanii anayeimba wote walikuwa wanachana/wanarap huku mwasisi wao akiwa Mr.II a.k.a. Sugu
Kama yupo aliyekuwa anaimba naomba uniwekee hapa na moja ya wimbo wake
Asiwe msanii wa injili tu kama Malebo Munishi
Em tafuta ngoma za Mr.II zinazopatikana kwenye albamu yake ya kwanza inayoitwa Ni Mimi ya mwaka 1995, hii imerekodiwa katika studio za redio Tanzania uone jamaa alivyopangilia vina na mashairi yalivyo kwenye mpangilio mzuri
Ungetulia uandike vizuri mzeeMzee..nakuhakikishia tu hata kurap hao hawajuiii..vina vyao havina urari ...mashairu yao wanayatunga kama hawakula before..ndio maana nyimbo zao haziishi..zaidi ya wiki..zinakuwa zimekufaaa..hats huyo sugu ndio kabisaaa yanii..hajui..hajui..hajuiii..ukiniambia prof jay kidogo nitakuelewa...
Tukubali..wasanii wetu hawa wanafanya usanii kwenye sanaa ya muziki..na sio kwamba ni talented..
Ni vile tu wameijukta jamii nayo haijui muziki mzuri ndio maaana wanajikuta jamii inawapokea tuuu.
Ukitaka kujua nalosema ..tazmaa trend ya qasnii wetu kwenye tuzo za kimataifa..no zerooo..hii maana take nii hawana kitu kipya zaidi ya kuomba tyoo...yoo..yoo..whatsapp.sasa hapo ndio ???
Toka nzei za kina Hugo sugu hadi sasa kina diamond hakuna..huwa wanajitahidi kwa mwaka Mara moja ..tu na tena kwa bahati bahati tuuu
Alikua mtu mbaya ila saivi hamna kitu sa cjui ndio kawa MTU mzuri[emoji23][emoji23][emoji23]Country Boy mtu mbaya aka Wiz Khalifa wa Bongo
Atakuwa niyule mtu wa miziki ya kufoka fokaHemed tunsmjua sisi watu wa Rnb ila kama haujui ni vigumu kumuelewa
Anajua nini huyo nay ndugu hapa mi naona jamaa amtoe bestnasso, countryboy, Matonya, ommydimpoz, Pnc etcKwamba Ney wa Mitego hajui kuimba????? Hauko serious na maisha chalii angu
Mb0so, nedy, jux, Aslay, Mwanafa. Chuki binafsiDogo janja..
Aslay
Mboso
Mwana fa
Jux
Nedy music
Billnass
Baraka de Prince
Whozu
Masanja
Baba diamond
Hamisa
Na wengine wengi..ningekuwa DJ kwenye radio station nyimbo zao ningekuwa naziweka kwenye ndoo ya uchafu..
Nyimbo zao nyingi ni za kuanzia SAA 12 asubuhi hadi 12 jioni..zinakuwa zimeshaboaaa..nyimbo zao hazina uhai..hazivutiii..ubunifu zerooo...hazifai hata kucheza high club.
Angemshauri aache kuigiza abaki na mziki angeeleweka jamaa hajui alichokiandika5: HEMED ni mwanamuziki mzuri sana labda hujui anachofanya ila kwenye Rnb anasimama vizuri sana.
Hivi Ile Ni Nyimbo ya Dini Maana Nacheka NikiiangaliaHemed umemuonea ila hapo kwa Masanja nimecheka nimekumbuka na wimbo wa ' Niii'
Achana Nae hahahah yaezekana HaujuiUna uhakika?
Hahaha unauliza tena wakati mwenyewe kasema kabisa hii ni nyimbo ya diniHivi Ile Ni Nyimbo ya Dini Maana Nacheka Nikiiangalia