Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
Hamisa aige mfano wa zari ...aliingia kwenye industry ya muziki ......akajionea Mambo meusi akaacha na kubaki na kipaji chake Cha kufyatua watoto
teh teh teh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamisa aige mfano wa zari ...aliingia kwenye industry ya muziki ......akajionea Mambo meusi akaacha na kubaki na kipaji chake Cha kufyatua watoto
Mi huwa nawashangaa sana wanaomdiss Hemmed[emoji849][emoji849]5: HEMED ni mwanamuziki mzuri sana labda hujui anachofanya ila kwenye Rnb anasimama vizuri sana.
Mzee wa Yuyu?Baba Diamond vp
Naona wengi wenu mnashindwa kutofautisha kuimba na kurap/kuchanaDogo janja..
Aslay
Mboso
Mwana fa
Jux
Nedy music
Billnass
Baraka de Prince
Whozu
Masanja
Baba diamond
Hamisa
Na wengine wengi..ningekuwa DJ kwenye radio station nyimbo zao ningekuwa naziweka kwenye ndoo ya uchafu..
Nyimbo zao nyingi ni za kuanzia SAA 12 asubuhi hadi 12 jioni..zinakuwa zimeshaboaaa..nyimbo zao hazina uhai..hazivutiii..ubunifu zerooo...hazifai hata kucheza high club.
Hamisa aige mfano wa zari ...aliingia kwenye industry ya muziki ......akajionea Mambo meusi akaacha na kubaki na kipaji chake Cha kufyatua watoto
Hemed namkubali pia5: HEMED ni mwanamuziki mzuri sana labda hujui anachofanya ila kwenye Rnb anasimama vizuri sana.
Au ni mdau wa singeli.Kuna wimbo wake mmoja wa muda mtamu sana...inawezekana mleta mada hajasikiliza nyimbo zake
Anafanya Rnb moja matata mno.Hemed namkubali pia
Bonge moja la ngoma, ila ukiwa mdau wa singeli utabaki juu juu kuhusu uwezo wa Hemed kimuziki.naikubali sana ile ngoma yake imebaki story na ile mkimbie. Kali sana hizo.. hemed yeye anasema anafanya mziki kujifurahisha tuu sio kazi!
Jamaa namuelewa sana sema media zetu watu wanaoimba vizuri hawapewi nafasi mfano Rama d hawa ni watu wanaoitendea haki rnbAnafanya Rnb moja matata mno.
Ule wimbo wake wa 'Going Crazy' matata sanaaa.Jamaa namuelewa sana sema media zetu watu wanaoimba vizuri hawapewi nafasi mfano Rama d hawa ni watu wanaoitendea haki rnb
Hemed anajitahidi lakiniKuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu