Wasanii wakiniona wanataka kukimbia

Raha ya samaki ni kuliwa jicho, sasa huyu samakiurembo lazima ni delicious tu…. mdudu keshaingia kwenye embe.!
 
Dogo mzuri sana, hebu tupia picha nyingi tuone.![emoji276]
 
Mbona hujatumia na jina lako halisi?
 
Dah jiji gumu sana hili!!
 
Kwa sababu ipi unasema hivyo
Kwa sababu hujui nini maana ya jamii forums na hujui kwa nini uko humu!! Miaka mitano baadae utakuja kuona ni jinsi gani unavyokuwa uki-upload ujinga!

Rejea kwenye profile yako ya facebook, siku ukikua ndo urudi humu!!
 
Hakuna mtu mbaya hata wewe ni mzur sababu uzur wa kitu unategemea na maoni ya anaekitazama
Yaani hata the way una reply, hakuna kazi at all! Yaani Replies unazoandika ni kama vile comments! Hujui hata ni kwa nini mkuu kakwambia upost picha nyingi zaidi!!

Samahani kama nitakuwa nafanya uwe bored! Na sign out! [emoji34][emoji34][emoji125][emoji125]
 
Reactions: Qwy
Dah Nimecheka Sana! Sasa wamejua Vipi Wewe Ni Suddy Brown
 
Kwa sababu hujui nini maana ya jamii forums na hujui kwa nini uko humu!! Miaka mitano baadae utakuja kuona ni jinsi gani unavyokuwa uki-upload ujinga!

Rejea kwenye profile yako ya facebook, siku ukikua ndo urudi humu!!
Nonsens kabisa nipo humu tangu 2010 nilikua natumia jin ala appoh member wakongwe wananijua vyema sijan hoja ya maana zaid ya negativity tu kichwan mwako
 
Kama wewe ni mwerevu ukiona mtu kaandika ujinga pita kushoto ukicoment na kuleta debate bas na wewe ni mjinga mmojawapo werevu wamepiga kimya kwenye ujinga huu
 
Kuna Panyaroad kafanana kama wewe.

Sasa subiri ukamatwe
 
Dah Nimecheka Sana! Sasa wamejua Vipi Wewe Ni Suddy Brown
No ni hisia zangu labda maana wasanii niliokutana nao ni mazingira ya mtaan sanaa na hawategemei kukutana na mtu kama soudy kwa maana wasanii niliokutana nao hali zao kisanaa hazikua nzur so nilikutana nao katika mazingira ya mtaan sanaa wanatembea kwa miguu au wanakula na nk
 
Umehama sabasaba?
 
Nilivyosoma tu ID "SAMAKI UREMBO" nikasema tayari tushapata kaoge wa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…