samakiurembo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 445
- 689
- Thread starter
- #61
Si unajua stupid kumshinda ni rahis sanaa ni kumdharau tu wala usiweke ushindan naeKheeeeeeh? Real? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajua stupid kumshinda ni rahis sanaa ni kumdharau tu wala usiweke ushindan naeKheeeeeeh? Real? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unajua stupid kumshinda ni rahis sanaa ni kumdharau tu wala usiweke ushindan nae
MielewesheWeka picha punguza kujieleza, a photo speaks thousand of words.
Ngoja waje......Nonsens kabisa nipo humu tangu 2010 nilikua natumia jin ala appoh member wakongwe wananijua vyema sijan hoja ya maana zaid ya negativity tu kichwan mwako
Kama wewe ni mwerevu ukiona mtu kaandika ujinga pita kushoto ukicoment na kuleta debate bas na wewe ni mjinga mmojawapo werevu wamepiga kimya kwenye ujinga huu
Mamende mmeanza kummendea dogo.Dogo mzuri sana, hebu tupia picha nyingi tuone.![emoji276]
hata ungejiunga JF kabla ya uhuru we ni wa hovyo tuNonsens kabisa nipo humu tangu 2010 nilikua natumia jin ala appoh member wakongwe wananijua vyema sijan hoja ya maana zaid ya negativity tu kichwan mwako
Hivi wajijua wewe ni Bipolar???Na tunakusubiria siku uchangie ujinga kwenye jukwaa la siasa tukutie mbaloni! Picha yako tushaiweka kwenye saver zetu!
Eboo!! [emoji34][emoji34]
Ok sawahata ungejiunga JF kabla ya uhuru we ni wa hovyo tu
Ok nalipia wapmwanaume rijali hana muda wa kutuma picha zake humu.
Haya lipia tangazo!
Ni mashoga sio mamendeabaefanya na anaefanyiwa wote mashogaMamende mmeanza kummendea dogo.
Watu walifukua makabur wakapata picha yake halis nimei attach hapoKjn sud mank ninkwmaba muda wote yey anashinda Kam ninja aachane na upumbafu
Bipolar ukiwa na maana ipi mkuu?Hivi wajijua wewe ni Bipolar???
Usidharau na huu ni mwezi wa utambuzi wa Afya ya Akili ukawahi tiba haraka.
Ulichokiandika kiendane na ukweli.Weka picha yako,jina lako halisi,namba ya NIDA na postikodi yako.Siyo unaandika tu kama umekunywa wanzuki na maandazi makavu.Hahaaa acheni mawazo ya kipuuz na fikra za kukaririshwa kua jf ni mtandao wa watu siri na waovu waovu eti wafiche majina yao na picha zao member wangap wana majina yao na picha zao huku kama umeingia humu ukiwa na tabia zao mbaya mbaya za kifiraun hivyo hutak watu wakujue ni wewe mkuu mtu mwema anakua huru mtu muovu atajificha ficha member weng tu wakiongoza na pascal mayala wanatumia id halisi bila hofu waovu ndio wanajificha ficha
Wewe ni mgogo?una sura ya ombaomba!!!Habar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu kubadilisha njia
Hali hii imenipa maswal sanaa lakin nimepata sababu huenda nikawa nafanana na sudy brown kijana anaewafuatilia maisha ya wasanii wakiwa mitaan maana wasanii niliowakuta mtaan na kutaka kukimbia walikua na mshtuko mkubwa kuonana na wao maeneo hayo au wakuu
MwijaMbona unafanana na mwijaku
Sudy brown ndio mnyama gani?Habar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu kubadilisha njia
Hali hii imenipa maswal sanaa lakin nimepata sababu huenda nikawa nafanana na sudy brown kijana anaewafuatilia maisha ya wasanii wakiwa mitaan maana wasanii niliowakuta mtaan na kutaka kukimbia walikua na mshtuko mkubwa kuonana na wao maeneo hayo au wakuu
Ooh proud of meWewe ni mgogo?una sura ya ombaomba!!!