Wasanii wakiniona wanataka kukimbia

Wasanii wakiniona wanataka kukimbia

Nonsens kabisa nipo humu tangu 2010 nilikua natumia jin ala appoh member wakongwe wananijua vyema sijan hoja ya maana zaid ya negativity tu kichwan mwako
Ngoja waje......

Kama wewe ni mwerevu ukiona mtu kaandika ujinga pita kushoto ukicoment na kuleta debate bas na wewe ni mjinga mmojawapo werevu wamepiga kimya kwenye ujinga huu
 
Kjn sud mank ninkwmaba muda wote yey anashinda Kam ninja aachane na upumbafu
 
Nonsens kabisa nipo humu tangu 2010 nilikua natumia jin ala appoh member wakongwe wananijua vyema sijan hoja ya maana zaid ya negativity tu kichwan mwako
hata ungejiunga JF kabla ya uhuru we ni wa hovyo tu
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
mwanaume rijali hana muda wa kutuma picha zake humu.
Haya lipia tangazo!
 
Na tunakusubiria siku uchangie ujinga kwenye jukwaa la siasa tukutie mbaloni! Picha yako tushaiweka kwenye saver zetu!
Eboo!! [emoji34][emoji34]
Hivi wajijua wewe ni Bipolar???
Usidharau na huu ni mwezi wa utambuzi wa Afya ya Akili ukawahi tiba haraka.
 
Hahaaa acheni mawazo ya kipuuz na fikra za kukaririshwa kua jf ni mtandao wa watu siri na waovu waovu eti wafiche majina yao na picha zao member wangap wana majina yao na picha zao huku kama umeingia humu ukiwa na tabia zao mbaya mbaya za kifiraun hivyo hutak watu wakujue ni wewe mkuu mtu mwema anakua huru mtu muovu atajificha ficha member weng tu wakiongoza na pascal mayala wanatumia id halisi bila hofu waovu ndio wanajificha ficha
Ulichokiandika kiendane na ukweli.Weka picha yako,jina lako halisi,namba ya NIDA na postikodi yako.Siyo unaandika tu kama umekunywa wanzuki na maandazi makavu.
 
  • Mshangao
Reactions: EEX
Habar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu kubadilisha njia

Hali hii imenipa maswal sanaa lakin nimepata sababu huenda nikawa nafanana na sudy brown kijana anaewafuatilia maisha ya wasanii wakiwa mitaan maana wasanii niliowakuta mtaan na kutaka kukimbia walikua na mshtuko mkubwa kuonana na wao maeneo hayo au wakuu
Wewe ni mgogo?una sura ya ombaomba!!!
 
Sudy brown ndio mnyama gani?
Hizi kiki tu,Bora ungejifananisha na Mond,tatizo unapanda daladala
 
Back
Top Bottom