Wasanii wakubwa hawana shows msimu huu. Au ndio vyuma vimezid kukaza??

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Wasanii kama Ben pol,Joh makini,Ali kiba,jide, Darassa, Belle 9,Mwana Fa,Barnaba na wengine wengi. Yaani hakuna hawajapiga shows msimu huu wa sikukuu. Kumbi kama Dar live,samaki samaki,maisha basement, leaders na nyinginezo mtu unaweza kuandaa show ukaita hawa wasanii na ukapiga hela. Ndio kusema vyuma vimekaza au kuna nini nyuma ya hili??
 
Show zote mwisho sas sita kwa Dar...


Cc: mahondaw

Walimtukana Bashite ndo maana acha sasa awa-bashite mfukoni mpaka wawe bashite kweli kweli ndo wawaelewe wanasiasa wa bongo.

sasa kama lipumba alivunjwa mkono na wengineo wako ndani. Sasa waanze kumuimbia nyimbo zitakazompendeza alegeze moyo
 
Wasanii walijua CCM ni rafk wao sasa wanakiona
 
Wengine wanafanya show za bar hawawezi kuweka picha, wenyewe wanaonaga ujiko kuonyesha mapicha ya nyomi za Fiesta au Darlive, sio shows uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…