kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Wasanii kama Ben pol,Joh makini,Ali kiba,jide, Darassa, Belle 9,Mwana Fa,Barnaba na wengine wengi. Yaani hakuna hawajapiga shows msimu huu wa sikukuu. Kumbi kama Dar live,samaki samaki,maisha basement, leaders na nyinginezo mtu unaweza kuandaa show ukaita hawa wasanii na ukapiga hela. Ndio kusema vyuma vimekaza au kuna nini nyuma ya hili??