Wasanii waliofulia baada ya kujitoa kwa Babu Tale

Wasanii waliofulia baada ya kujitoa kwa Babu Tale

Unasemaje mnyonyaji na baada ya kutokunyonywa afulie!
Hebu badilisha sema muwezeshaji babu tale.
Fahamu kuimba ni ishu ingine, na kufanya mziki kuwa biashara ni ishu ingine tofautisha hivyo ni vitu viwili tofauti.
 
Hivi kufulia ni kupi,kutokutoa nyimbo au kuishiwa kifedha ?????
 
Kwa sababu ya kubebeshwa ngada kwenda south pia hawa sijui kina babu tale ni kama wana control industry ya music unaweza toa wimbo wakakuminyia
 
Huyo Le Mutuz anayemsifia kama bilionea Matelefone ndio huyo babu Tale? Ubilionea wake nadhani una mambo ya ngada kwani anapenda sana kuwahonga [Ridhwani etec] wabunge mafisadi ili wawatumie katika vita yao ya kumchafua waziri Kitwanga!!
 
Unajua kuimba sawa, hilo ni moja, lakini la pili ni je unaijua vinzuri biashara ya muziki? Unapomuona Diamond ana mameneja watatu si kwamba anafanya ili kujionyesha tu.
 
Back
Top Bottom