Wasanii Waliojitahidi kuepuka Skendo za hovyohovyo. Funguka leo !

Lina?
 
Huyu kijana ananifurahisha sana. Hajitengenezei mizengwe isiyo na maana. Yupo kikazi zaidi na anajielewa. Katika WCB ni yeye na Mavoko wasioendekeza viskendo visivyolipia.
Tena sana
 
Nasikia mwakani wema sepetu atagombea umakamu wa raisi
 
Huyu kijana ananifurahisha sana. Hajitengenezei mizengwe isiyo na maana. Yupo kikazi zaidi na anajielewa. Katika WCB ni yeye na Mavoko wasioendekeza viskendo visivyolipia.
Huyu dogo anajielewa sana itakuwa kaenda shule na kwa kuimba WCB hakuna anayemfikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…