Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
ukiambiwa uthibitishe, unaweza?Fid Q kwl ni mario hilo halina ubish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiambiwa uthibitishe, unaweza?Fid Q kwl ni mario hilo halina ubish
huyu mtoto wa buguruni, alikuwa anatafuta kiki kwa kajala ikagoma.Ytonny
Analelewa na demu wa kizunguukiambiwa uthibitishe, unaweza?
una maana gani analelewa? kwani jamaa hafanyi kazi? hana independent source of income?Analelewa na demu wa kizungu
Mdogo kiumri lakini mkubwa ki akiliRayvan
Lina?Habarini Wadau,
Katika Tasnia ya Muziki wa hapa nchini, kuna Wasanii pamoja na kuwepo katika industry hii wamejitahidi sana kutokuhusishwa na skendo za kuwachafua hovyo hovyo.
Hata pale panapotokea kuwa wanahusishwa na Skendo ghafla inaonekana kama wanasingiziwa tu.
Ukiacha wale wakongwe wa Zamani kama akina Mbaraka Mwinshehe, King kikii, wale wa Band mbalimbali n.k
Kuna vijana pia wamejitahidi kuzuia skendoz..mimi ninaowafahamu ni hawa:-
-Banana Zorro
-Lina
-MwanaFA
-Fid Q (Ya umarioo ni kusingiziwa)
-Jay Mo
-Weusi (ya kubebwa nafikiri ni rumuors)
Taja wengine...
Huyu kijana ananifurahisha sana. Hajitengenezei mizengwe isiyo na maana. Yupo kikazi zaidi na anajielewa. Katika WCB ni yeye na Mavoko wasioendekeza viskendo visivyolipia.Rayvan
Tena sanaHuyu kijana ananifurahisha sana. Hajitengenezei mizengwe isiyo na maana. Yupo kikazi zaidi na anajielewa. Katika WCB ni yeye na Mavoko wasioendekeza viskendo visivyolipia.
Huyu dogo anajielewa sana itakuwa kaenda shule na kwa kuimba WCB hakuna anayemfikiaHuyu kijana ananifurahisha sana. Hajitengenezei mizengwe isiyo na maana. Yupo kikazi zaidi na anajielewa. Katika WCB ni yeye na Mavoko wasioendekeza viskendo visivyolipia.
hahahah Linah,daah sema kale ka laki 2 kangu hakakwenda bureLinar mtoe kwenye list