Wasanii Waliojitahidi kuepuka Skendo za hovyohovyo. Funguka leo !

Wasanii Waliojitahidi kuepuka Skendo za hovyohovyo. Funguka leo !

Kuna huyu anaitwa Ben Pol{sina uhakika sana na spelling}japo bongo flavor siipendi but huyu bwana'mdgo namkubali sana anavyojiheshimu.
Ni kweli jamaa hana skendo, ile ya kutoka na Snura ilikuwa uzushi
 
yule wa Musoma yule.... nani sijui dah...

Kumuona gazetini udakuni ni nadra sana
 
siasa nayo sanaa...ngoja nilete listi ya wanasiasa wasio na skendo.. teh teh teh
 
Kwa linah umechemka ana skendo mbovu sana hana tofaut na akina diva
 
Ben Pol
Roma
Bilnass
Aika & Nahreel
Barnaba
Ali Kiba
Mr Blue
Madee
Jaydee
Mwasiti
Mavoko
Darassa
wapo wengi sana
 
1.Kassim Mganga
2.AY
3.Weusi (ukiacha yule mwizi aliyeondolewa kisa ngada)
4.Noorah (sijui kapotelea wapi huyu jamaa)
5.Prof.J (ishu ya ngoma nahisi anasingiziwa tu)
3.. Mungu anakuona.

5.. Shauri yako
 
Dogo Janja!!! Dudubaya, Shilole, Ray, Wema,
 
Back
Top Bottom