Wasanii waliopotelea "Majuu" kuna faida yoyote?

Wasanii waliopotelea "Majuu" kuna faida yoyote?

Hongera kwa Dr. Remmy na wasanii wote waliofanikiwa kurudi na familia zao za kizungu nyumbani.

Hii si kwa wasanii tu bali heko kwa waafrika wooote waliofanikiwa kurudisha familia hom!!
 
Hongera kwa Dr. Remmy na wasanii wote waliofanikiwa kurudi na familia zao za kizungu nyumbani.

Hii si kwa wasanii tu bali heko kwa waafrika wooote waliofanikiwa kurudisha familia hom!!

Na wewe irudishe familia yako kwenu Kilwa, using'ang'anie mjini, makaburi yenu yanakusubiri.
 
Sisi kwetu ni hapo tu Kilwa kama ulivyosema kaka, kwa akili za kawaida kabisa sidhani kama unaweza kulinganisha Kilwa na Europe!!
Ukiwa hapa Tz huhitaji taratibu zozote za kibalozi kufika popote! sishangai mtu kijitoa ufahamu na kuanza kuwaita Mbuni na Njiwa wako sawa!! hata kama woteni ndege!!@ Salamander.
 
Back
Top Bottom