Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023
1. Msanii bora wa kiume: Harmonize
2. Msanii bora wa kike: Zuchu
3. Msanii bora wa Hip-hop: Bilnass
4. Msanii bora wa Hip-hop: Rosa Ree
5. Collabo bora ya mwaka: Nitongoze by Rayvanny ft Diamond
6. Wimbo bora Bongofleva: Kwikwi by Zuchu
7. Msanii bora chipukizi: Kontawa
8. Wimbo bora wa mwaka : Nakupenda by Jay Melody
9. Video bora ya mwaka: Mwambieni by Zuchu
10. Mwanamuziki bora wa kike chaguo la watu kidigitali: Zuchu
11. Msanii bora wa kiume Bongofleva: Mbosso
12. Msanii bora wa kiume chaguo la Watu : Diamond Platnumz
13. Msanii bora wa kiume wa Singeli : Dulla Makabila
14. Msanii bora wa kike wa Singeli: Mimah
15. Mtumbuiziaji bora wa kiume: Sholo Mwamba
16. Mtumbuizaji bora wa kike: Phina
17. Mwimbaji bora wa kiume Taarab: Hassan Doko
18. Mnyumbulikaji (Dance) bora wa kike: Angel Nyigu
19. Msanii bora wa kiume Raggae Dancehall: Badest
20. Msanii bora wa kike Reggae Dancehall: Dipper Rato
21. Mwanamuziki bora wa kiume vionjo vya asili: Awilo Kidume Cha Mbeya
22. Mwanamuziki bora wa kike vionjo vya asili: Elizabeth Malinganya
23. DJ bora wa kike: DJ Mamie
24. Producer bora : S2Kizzy
25. Tuzo ya heshima: Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
Hata watu wakipiga kura maamuzi ya mwisho yanatolewa na waandaji wa tuzoWatu wamepiga kura sio wao wamepanga nyie jamaa vipi hamfuatilii alafu mnamwaga lawama, ni kura zimepigwa na watu muwe mnafuatilia kabla ya kulaumu
Sijaelewa wamezingatia nn,Tuzo za kishamba mno,huwezi kumpa billnas tuzo ya hiphop huo ni utoto
Msanii Bora wa mwaka Hana nyimbo yoyote Bora,inashangaza[emoji848]yaani naona kabisa wimbo wa naogopa ya marioo&harmonize ndo ulipaswa kuwa kolabo bora ya mwaka.....
Na hili swala la harmonize kuwa msanii bora wa kiume ni sawa....ila mbona sasa katika nyimbo zake asichukue tuza hata moja kivipi[emoji848]
Wamejitahidi ila ifikie mahali huyo namba 25 aache kutukuzwa. Yani inakuwa kama hii nchi hakuna mtu ambaye amewahi kufanya kitu cha maana zaidi yake tu. Sio kwa chuki ila kujipendekeza kumezidi. Kuna Public figures kibao zimeishi bila makando kando mpeni hata Shein basi kama kweli lengo ni kuwatuza watu.Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023
1. Msanii bora wa kiume: Harmonize
2. Msanii bora wa kike: Zuchu
3. Msanii bora wa Hip-hop: Bilnass
4. Msanii bora wa Hip-hop: Rosa Ree
5. Collabo bora ya mwaka: Nitongoze by Rayvanny ft Diamond
6. Wimbo bora Bongofleva: Kwikwi by Zuchu
7. Msanii bora chipukizi: Kontawa
8. Wimbo bora wa mwaka : Nakupenda by Jay Melody
9. Video bora ya mwaka: Mwambieni by Zuchu
10. Mwanamuziki bora wa kike chaguo la watu kidigitali: Zuchu
11. Msanii bora wa kiume Bongofleva: Mbosso
12. Msanii bora wa kiume chaguo la Watu : Diamond Platnumz
13. Msanii bora wa kiume wa Singeli : Dulla Makabila
14. Msanii bora wa kike wa Singeli: Mimah
15. Mtumbuiziaji bora wa kiume: Sholo Mwamba
16. Mtumbuizaji bora wa kike: Phina
17. Mwimbaji bora wa kiume Taarab: Hassan Doko
18. Mnyumbulikaji (Dance) bora wa kike: Angel Nyigu
19. Msanii bora wa kiume Raggae Dancehall: Badest
20. Msanii bora wa kike Reggae Dancehall: Dipper Rato
21. Mwanamuziki bora wa kiume vionjo vya asili: Awilo Kidume Cha Mbeya
22. Mwanamuziki bora wa kike vionjo vya asili: Elizabeth Malinganya
23. DJ bora wa kike: DJ Mamie
24. Producer bora : S2Kizzy
25. Tuzo ya heshima: Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
Well said mkuu why wasimpe tunzo hii Mr.Bichuka Rehani?,sitaweza comments again uzi huu maana wote hao simjui hata mmojaWamejitahidi ila ifikie mahali huyo namba 25 aache kutukuzwa. Yani inakuwa kama hii nchi hakuna mtu ambaye amewahi kufanya kitu cha maana zaidi yake tu. Sio kwa chuki ila kujipendekeza kumezidi. Kuna Public figures kibao zimeishi bila makando kando mpeni hata Shein basi kama kweli lengo ni kuwatuza watu.
Sio poa inashangaza sanaMsanii Bora wa mwaka Hana nyimbo yoyote Bora,inashangaza[emoji848]
Jiue dadaWamejitahidi ila ifikie mahali huyo namba 25 aache kutukuzwa. Yani inakuwa kama hii nchi hakuna mtu ambaye amewahi kufanya kitu cha maana zaidi yake tu. Sio kwa chuki ila kujipendekeza kumezidi. Kuna Public figures kibao zimeishi bila makando kando mpeni hata Shein basi kama kweli lengo ni kuwatuza watu.
Sawa mremboJiue dada
Ila kwa upande wa burudani anastahili Tuzo kiukweli kabisa kanyanyua sanaa ya mziki ila uko kwenye siasa ndio kavurundaWamejitahidi ila ifikie mahali huyo namba 25 aache kutukuzwa. Yani inakuwa kama hii nchi hakuna mtu ambaye amewahi kufanya kitu cha maana zaidi yake tu. Sio kwa chuki ila kujipendekeza kumezidi. Kuna Public figures kibao zimeishi bila makando kando mpeni hata Shein basi kama kweli lengo ni kuwatuza watu.
Mboso kamzidi Marioo japo na yy alikuwa anastahili tuzo maana ukiniambia msanii Gani mkali kwasasa basi nitamtaja MarioooMbosso kapewa tuzo, marioo kakosa duu.
Zilikuwa tuzo za Zuchu.Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023
1. Msanii bora wa kiume: Harmonize
2. Msanii bora wa kike: Zuchu
3. Msanii bora wa Hip-hop: Bilnass
4. Msanii bora wa Hip-hop: Rosa Ree
5. Collabo bora ya mwaka: Nitongoze by Rayvanny ft Diamond
6. Wimbo bora Bongofleva: Kwikwi by Zuchu
7. Msanii bora chipukizi: Kontawa
8. Wimbo bora wa mwaka : Nakupenda by Jay Melody
9. Video bora ya mwaka: Mwambieni by Zuchu
10. Mwanamuziki bora wa kike chaguo la watu kidigitali: Zuchu
11. Msanii bora wa kiume Bongofleva: Mbosso
12. Msanii bora wa kiume chaguo la Watu : Diamond Platnumz
13. Msanii bora wa kiume wa Singeli : Dulla Makabila
14. Msanii bora wa kike wa Singeli: Mimah
15. Mtumbuiziaji bora wa kiume: Sholo Mwamba
16. Mtumbuizaji bora wa kike: Phina
17. Mwimbaji bora wa kiume Taarab: Hassan Doko
18. Mnyumbulikaji (Dance) bora wa kike: Angel Nyigu
19. Msanii bora wa kiume Raggae Dancehall: Badest
20. Msanii bora wa kike Reggae Dancehall: Dipper Rato
21. Mwanamuziki bora wa kiume vionjo vya asili: Awilo Kidume Cha Mbeya
22. Mwanamuziki bora wa kike vionjo vya asili: Elizabeth Malinganya
23. DJ bora wa kike: DJ Mamie
24. Producer bora : S2Kizzy
25. Tuzo ya heshima: Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
Tuzo zote ovyo isipokuwa hiyo ya Jk
Wamejitahidi ila ifikie mahali huyo namba 25 aache kutukuzwa. Yani inakuwa kama hii nchi hakuna mtu ambaye amewahi kufanya kitu cha maana zaidi yake tu. Sio kwa chuki ila kujipendekeza kumezidi. Kuna Public figures kibao zimeishi bila makando kando mpeni hata Shein basi kama kweli lengo ni kuwatuza watu.
Sina matatizo na remote controller.Mkuu kwani una matatizo na mshika rimoti wa Msoga? [emoji23][emoji23]