Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Kizz Daniel alitisha Sana...Duh
Hakuna kichekesho walichofanya hao BASATA
katika kipengele cha msanii bora wa Afrika magharibi.walikuwa ni
1.Rema
2.Burnaboy
3.Ayra star
4. kiss daniel
Eti akapewa kiss daniel kwa kigezo kipi?
Burnaboy ni Giant na anahit songs zaidi ya 4 mwaka jana. Ayra star ndo hagusiki pamoja na Rema
NILIZIMA TV NIKALALA BONGO NYOSSO
Wake up..[emoji91]
Cough balaa [emoji91]