Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023

Complaining are cheap that’s why everyone can afford it

Kura hatujapiga ila tunalalamika balaaa [emoji23][emoji23]

Nilitamani Marioo ashinde lakini siku mpigia kura...... my bad
 

Sijamuona Mwijaku
 
Watu wamepiga kura sio wao wamepanga nyie jamaa vipi hamfuatilii alafu mnamwaga lawama, ni kura zimepigwa na watu muwe mnafuatilia kabla ya kulaumu
Hata watu wakipiga kura maamuzi ya mwisho yanatolewa na waandaji wa tuzo
 
Ndio mana hizi tuzo zinazarauriwa,me ndio sikupoteza muda kabisa kuangalia!
 
yaani naona kabisa wimbo wa naogopa ya marioo&harmonize ndo ulipaswa kuwa kolabo bora ya mwaka.....

Na hili swala la harmonize kuwa msanii bora wa kiume ni sawa....ila mbona sasa katika nyimbo zake asichukue tuza hata moja kivipi[emoji848]
Msanii Bora wa mwaka Hana nyimbo yoyote Bora,inashangaza[emoji848]
 
Wamejitahidi ila ifikie mahali huyo namba 25 aache kutukuzwa. Yani inakuwa kama hii nchi hakuna mtu ambaye amewahi kufanya kitu cha maana zaidi yake tu. Sio kwa chuki ila kujipendekeza kumezidi. Kuna Public figures kibao zimeishi bila makando kando mpeni hata Shein basi kama kweli lengo ni kuwatuza watu.
 
Well said mkuu why wasimpe tunzo hii Mr.Bichuka Rehani?,sitaweza comments again uzi huu maana wote hao simjui hata mmoja
 
Jiue dada
 
Ila kwa upande wa burudani anastahili Tuzo kiukweli kabisa kanyanyua sanaa ya mziki ila uko kwenye siasa ndio kavurunda
 
Mbosso kapewa tuzo, marioo kakosa duu.
 
ASilimia kubwa naona wapo sahihi

Harmonize kawa msanii bora kwasababu katoa nyimbo nyingi kali kali lakin nyimbo zake haziwez fikia huo wimbo uliokuwa bora
 
Zilikuwa tuzo za Zuchu.
 

Mkuu kwani una matatizo na mshika rimoti wa Msoga? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…