Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz

1. Diamond Platnumz - 33.6M
2. Rayvanny 20.9M
3. Alikiba 13.6M
4. Harmonize 11.8M
5. Zuchu 11.4M
6. Mbosso 11.3M
7. Lavalava 4.77M
8. Nandy 4.73M
9. Macvoice 3.1M
10. Marioo 2.9M
 
Kuna kijiji kimoja kipo kigoma huko ndani ndani nilikuwepo mwezi uliopita.

Kila sehemu nikikaa kwa ajili kupiga story lazima wauliza kuhusu diamond nilikuwa nakasilika sana
Kwa nini ukasirike kwa kuzungumziwa Diamond Chief?
 
Demu wangu ameniacha baada ya kumaliza masomo yake ya chuo UDSM July 2021.

Sijui sababu nini. Simu zangu hapokei. Message hajibu.

Nataka nimtongoze rafiki yake kama sehem ya kupunguza machungu, manzi nae ananikwepa tu.
 
Sikutegemea kama Nandy atakuwa chini hvyo
 
Back
Top Bottom