C Chaos Master JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 636 Reaction score 1,310 Nov 1, 2021 #1 Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
kajamaa kadogo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,707 Reaction score 6,437 Nov 1, 2021 #2 Kuna kijiji kimoja kipo kigoma huko ndani ndani nilikuwepo mwezi uliopita. Kila sehemu nikikaa kwa ajili kupiga story lazima wauliza kuhusu diamond nilikuwa nakasilika sana
Kuna kijiji kimoja kipo kigoma huko ndani ndani nilikuwepo mwezi uliopita. Kila sehemu nikikaa kwa ajili kupiga story lazima wauliza kuhusu diamond nilikuwa nakasilika sana
C Chaos Master JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 636 Reaction score 1,310 Nov 1, 2021 Thread starter #3 kajamaa kadogo said: Kuna kijiji kimoja kipo kigoma huko ndani ndani nilikuwepo mwezi uliopita. Kila sehemu nikikaa kwa ajili kupiga story lazima wauliza kuhusu diamond nilikuwa nakasilika sana Click to expand... Kwa nini ukasirike kwa kuzungumziwa Diamond Chief?
kajamaa kadogo said: Kuna kijiji kimoja kipo kigoma huko ndani ndani nilikuwepo mwezi uliopita. Kila sehemu nikikaa kwa ajili kupiga story lazima wauliza kuhusu diamond nilikuwa nakasilika sana Click to expand... Kwa nini ukasirike kwa kuzungumziwa Diamond Chief?
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Nov 1, 2021 #4 Demu wangu ameniacha baada ya kumaliza masomo yake ya chuo UDSM July 2021. Sijui sababu nini. Simu zangu hapokei. Message hajibu. Nataka nimtongoze rafiki yake kama sehem ya kupunguza machungu, manzi nae ananikwepa tu.
Demu wangu ameniacha baada ya kumaliza masomo yake ya chuo UDSM July 2021. Sijui sababu nini. Simu zangu hapokei. Message hajibu. Nataka nimtongoze rafiki yake kama sehem ya kupunguza machungu, manzi nae ananikwepa tu.
herman joshua JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 1,967 Reaction score 3,212 Nov 1, 2021 #5 Nakutoa albam yenye nyimbo 16, lakini wapiiiπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
0ozg Tz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 4,155 Reaction score 11,168 Nov 1, 2021 #6 Sikutegemea kama Nandy atakuwa chini hvyo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 1, 2021 #7 Ahsante Kwa taarifa...