DSE Tanzania
Member
- Sep 20, 2013
- 27
- 10
WASANII wa Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi waliofika kuzuru kaburi la aliyekuwa legendary wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba The Great, wameibua simanzi upya na kumsababisha mama wa marehemu, Flora Mtegoa kuangua kilio upya kwa mara nyingine.
Kwa picha zaidi Tembelea Blog ya DSE.
Dar es Salaam Stock Exchange: WASANII WAMLIZA TENA MAMA KANUMBA
Kwa picha zaidi Tembelea Blog ya DSE.
Dar es Salaam Stock Exchange: WASANII WAMLIZA TENA MAMA KANUMBA