Wasanii wamliza tena mama kanumba

Wasanii wamliza tena mama kanumba

DSE Tanzania

Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
27
Reaction score
10
WASANII wa Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi waliofika kuzuru kaburi la aliyekuwa legendary wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’, wameibua simanzi upya na kumsababisha mama wa marehemu, Flora Mtegoa kuangua kilio upya kwa mara nyingine.

DSC_0489.JPG

DSC_0560.JPG

Kwa picha zaidi Tembelea Blog ya DSE.
Dar es Salaam Stock Exchange: WASANII WAMLIZA TENA MAMA KANUMBA
 
Sawa picha tumeziona. Ila maelezo yake hakuna. Nn kimemliza??
 
Kumbe mama Kanumba ni thread ya Uchumi!! hii ni habari kwangu
 
Mama Kanumba kulia ni habari ya uchumi?

Cc: Invisible

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, haya yalishapita. Unadhani hii lugha ni sahihi kweli?

Lugha ni sahii,ila sema muda mwingine ukweli mwingine tusiuseme, kama ilivyo kawaida ya wanadamu. Lakini ukweli ni kuwa yaliyotokea yalikuwa na baraka za shetani! Yamepita nakubali, tusiyakumbushie lakini mtu akitaka kuyasema tusimlaumu kuwa kasema vibaya maana ndio ukweli unaomuwekaga mtu huru! Samahani kama nimekukwaza. Pole yaishe.
 
Nimekusoma
 
Back
Top Bottom