Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

acha roho mbaya fundi yupo uchebe
 
Mleta mada jaribu kuficha roho mbaya na umaskini wako.hukumfundisha kutafuta so usijaribu kumfundisha kutumia.kama akifilisika maana yake aliwahi kuwa nazo.we unazo??!!STFU NA ACHA UCHAWI,MLOZI WAHED!!
 
Aisee kisa diamond watu wanalipuka matusi[emoji1][emoji1]

Jana mzee extrovert nae kalipuka Hadi kala ban .[emoji1]

Aiiiseeee dah[emoji1]
Mijadala ya hili gari inIbua hisia nyingi sana...ingekuwa tunaifanya ana kwana watu wangerushiana ngumi kama hawa👇🤣
 
Unanunua RR kumziba mdomo mwijaku anayeendesha Crown,nimeshangaa sana kwakweli,afu mwijaku mwenyewe hata hajui kunyamaza NI UZUNI KWAKWELI [emoji17]
 
unajua iyo ndoto ya kununua rozi rozi alisema 2016?? Sasa mwijaku katokea wapi apo?
Watu wanajua kuwa manunuzi ya hiyo RR hayahusiani na Mwijaku wala haters wengine popote walipo bali wanasema hivyo kuridhisha mioyo yao ili ionekake kama kelele zao zinampoteza focus, ni dizaini flani ya kujifaragua.
Yaani dream aliyoinena live about 6yrs ago na mpaka leo ipo You Tube kuitimiza kwake imekuwa nongwa, haters huwa wanaishi na mateso mengi mioyoni mwao hata kama hawalitambui hilo.
 
Kwingine ambako hakuna hela?
Dogo Diamond kufika alipo ni kwa sababu ya yeye kukubali kutoka jasho mchana na usiku, hajafika hapo kizembe tu.

Aachwe aishi anavyotaka yeye, kuanza kumpangia maisha wakati siku akifilisika hakuna mtu atakayekuwa upande wake kumsaidia ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine wowote ule.

Hizi tabia za kufuatiliana maisha ni ujinga na bora tuziache.
 

mtoa uzi natamani nikutukane tuzi zito ila kwa huruma ya moyo wangu ngoja tu nikupotezee.
 
Sasa unataka kumpangia matumizi ya pesa yake huyo msanii
Mwache atumie pesa yake anavyojua mwenyewe,we tafuta pesa yako

Ova
Naamini mtu akipata pesa hatupasi kumpangia matumizi, shida inakuja pale mtu akipata pesa anapotaka kwa makusudi tuwe sehemu ya kufurahia au kuchukia kupata pesa yake. Tunakuwa huru nasi kutoa maoni.
 
Unanunua RR kumziba mdomo mwijaku anayeendesha Crown,nimeshangaa sana kwakweli,afu mwijaku mwenyewe hata hajui kunyamaza NI UZUNI KWAKWELI [emoji17]
Wewe utakuwa umeanza kumfuatilia diamond mwaka Huu nakumbuka kama 2015 au 2016 wakati anahojiwa na millard ayo alisema ndoto yake ni kununua Hilo gari na ndege binafsi na siku akinunua ndege binafsi utasema kwasababu ya mwijaku?
 
Wewe utakuwa umeanza kumfuatilia diamond mwaka Huu nakumbuka kama 2013 au 2014 wakati anahojiwa na millard ayo alisema ndoto yake ni kununua Hilo gari na ndege binafsi na siku akinunua ndege binafsi utasema kwasababu ya mwijaku?
unajua iyo ndoto ya kununua rozi rozi alisema 2016?? Sasa mwijaku katokea wapi apo?
Najua kuhusu ndoto zake za kumiliki RR kitambo tu...ila nimetoa maoni yangu kutokana na mambo yanayoendelea kwenye mitandao pande zote kwa diamond mwenyewe na upande wa hao mnaosema wanamchukia,just thought...
 
Najua kuhusu ndoto zake za kumiliki RR kitambo tu...ila nimetoa maoni yangu kutokana na mambo yanayoendelea kwenye mitandao pande zote kwa diamond mwenyewe na upande wa hao mnaosema wanamchukia,just thought...
Hao hater wametafuta sehemu ya kujifariji baada ya kuona hakuna sehemu ya kuponda ndio maana wanaongea hivyo ingekuwa diamond anawasikiliza hao hater au anafanya vitu kwa sababu yao asingekuwa anafanya show off lakini yeye anafanya cos mashabiki wake ndio wanapenda na ni moja ya njia inayopandisha brand yake ndio maana mpaka leo hakuna msanii yoyote ambaye ni ambassador wa makampuni mengi Tena zile company kubwa kama Diamond
 
Hizi ni tabia za hovyo sana.. yaani unateseka na mafanikio ya mwenzako alafu ww ni wa kiume kweli??
Yaan kama una watoto wakiona baba yao anaandika huu upuuzi watasikitika sana kuwa na Baba mpumbavu kiasi hiki.

Mwanaume unakuwa na wivu kiasi hiki!!! Kwani ulimsaidia kuzitafuta?
Kwani akifirisika ww unatapata tatizo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…