Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

Acha wivu wa kijinga,kununua gari sio ushamba,kama unatumia mshahara wako wa millioni 5 kununua ist ya milioni Saba,wewe ni mshamba,lakini mtu ana mkwanja,mrefu kama bilioni 100,unasema kununua royce Royce,au hummer,au vogue ni ushamba?acha uchawi jombaa
 
[emoji23]

Umefanya na mimi nijione kidume
wewe kidume haswaaaa ila nina mashaka nawewe kidogoooo

sidhani kama zinatolewaga,yani wewe n kama umemuwekea panya

mtego akinasa ndio kanasa hatolewi ng'o,zikifika ndio zimefika zisahau kutolewa😂
 
wewe kidume haswaaaa ila nina mashaka nawewe kidogoooo

sidhani kama zinatolewaga,yani wewe n kama umemuwekea panya

mtego akinasa ndio kanasa hatolewi ng'o,zikifika ndio zimefika zisahau kutolewa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kweli uchawi upo!! mtoa maada una roho ya korosho!! Umenikera kichizi!! Mimi nafurahia sana Diamondi anavotusua na afanikiwe zaidi
 
Sidhani kama ni mwanaume huyo, na kama kweli atakuwa na jinsia ya kiume basi atakuwa ni mwanaume tata.
Haiwezekani mwanaume awe na wivu wa kike na chuki namna ile utadhani alipewa uja uzito akatelekezwa.
 
Reactions: Qwy
Ushauli wako kaupokea,na amesema kuna Rambogin,Bentley na privet jet inakuja miezi kadhaa tu hapo mbele
 
Reactions: Qwy
bandiko lako limejaa usongombwingo,gere na chuki ya kimasikini tu
msanii hawezi kuwa juu huku anatumia Passo
 
Reactions: Qwy
Hayo nimawazo yamtu maskin pekee ndie anaweza kusema hivyo unajua mfuko wake unashngap???
 
Reactions: Qwy
Uchawi mbaya sana. Acha wivu, kwa hiyo davido unayemtolea mifano hawezi filisika ila huyu kwa kuwa anakunyoosha na genge lako ndio unaona anaweza filisika.
utakufa kwa chuki na wivu. Usipende kuishi maisha zaidi ya moja, ishi maisha yako inatosha sio kutaka na wengine waishi unavyotaka wewe.
 
Naamini mtu akipata pesa hatupasi kumpangia matumizi, shida inakuja pale mtu akipata pesa anapotaka kwa makusudi tuwe sehemu ya kufurahia au kuchukia kupata pesa yake. Tunakuwa huru nasi kutoa maoni.
Kwenye kuwa sehemu ya kufurahia amelenga fans wake na ndiyo showbiz inavyoendeshwa, if you're not part of the fans click ina maana wewe si mmoja wa wawalengwa hivyo baki tu kuwa mpenzi mtazamaji.
 
Acha matusi dogo unafikiri ukitukana tutakuacha umenisababishia ban bure
Baba zako unawaita dogo, jibu comments za wadau kwe uzi wako ila ukitukana unakula ban nyingine na this time around itakuwa ya nusu mwaka.
Don't hate the player, hate the game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…