Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

Baba zako unawaita dogo, jibu comments za wadau kwe uzi wako ila ukitukana unakula ban nyingine na this time around itakuwa ya nusu mwaka.
Don't hate the player, hate the game.
Mimi najibu wastaarabu kistaarabu sasa unakuja na matusi yako unafikiri ntaogopa ban? Kwani nna account moja?
 
Nakumbuka marehemu Kanumba aliwahi kuulizwa baada ya rexaz ni gari ipi Tena utamiliki
Alisema" siwezi nikawa nafikiria kununua magari tuu inabidi niangalie vitu vingine"

Mwisho wa kunukuu
Diamond jaribu kuishi hii kauli.
 
Leo kafa hajatimiza hayo malengo yake mengine. Ukipata fursa ukiwa hai timiza malengo yako.
 
Mtu unatafuta pesa kisha unatumia shida iko wapi hapo.
 
Reactions: Qwy
Yote maisha, kila mtu atapitia vile alivyopangiwa na Muumba (Ila jitihada zako ndio kutoka kwako)
 
Mleta uzi una pointi kwa msanii usipokua vizuri unafirisika dakika mbili kwa pressure za machawa kuna kina Mike Tyson alifilisika hivihivi
 
Mimi najibu wastaarabu kistaarabu sasa unakuja na matusi yako unafikiri ntaogopa ban? Kwani nna account moja?
Rudia uzi wako huu uliojaa wivu na hate uone nani alianza matusi, nilikuingiza kingi ukajaa ukala ban.
Sasa unashambuliwa left, right and center, watukane wate hao tuone.
Righteousness always lead in case you don't know.
 
Mleta uzi una pointi kwa msanii usipokua vizuri unafirisika dakika mbili kwa pressure za machawa kuna kina Mike Tyson alifilisika hivihivi
Kuna kina Michael Jordan ambao hawatakuja kufilisika, Sadala mjanja ana investments si kama hao ambao hawakuwa kuwa na miradi nje ya fani zao.
 
Kuna kina Michael Jordan ambao hawatakuja kufilisika, Sadala mjanja ana investments si kama hao ambao hawakuwa kuwa na miradi nje ya fani zao.
Sawa shida nyie mnamjaza tu huyo Mike Tyson mshauri wake aliku Donald trump
 
Insta wewe unatumia gari gani kwani?
Hakuna mtu anaangaika na wewe. Muache ahangaike na pesa zake.
 
Reactions: Qwy
Sawa shida nyie mnamjaza tu huyo Mike Tyson mshauri wake aliku Donald trump
Trump alikuwa financial advicer mwanzoni tu mwa career yake lakini hawakuendelea, Sadala ana management powerful, probably the most powerful management in East and central Africa katika showbiz industry hivyo hawezi kwenda off the rail kwa sababu hiyo.
Kuvimba huko na manunuzi hayo ni kuongeza thamani ya brand, it's a highly recommended strategy.
Waliomtangulia na wakakosa mikakati ndiyo hao kila uchwao wako pale pale na sasa wamebaki na strategy ya kutaka kushindanishwa naye ili wabakie kwenye limelight na hence kukosa mikakati tangible ya kukua katika biashara ya muziki.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Aya inaonekana unajua sana branding πŸ˜„πŸ˜„ ndio kununua magari au kufanya kazi nzuri
 
Nakumbuka marehemu Kanumba aliwahi kuulizwa baada ya rexaz ni gari ipi Tena utamiliki
Alisema" siwezi nikawa nafikiria kununua magari tuu inabidi niangalie vitu vingine"

Mwisho wa kunukuu
Diamond jaribu kuishi hii kauli.
Huwezi mfafananisha kanumba na diamond
Kwenye kutengeneza pesa hadi kuzimiliki
Binafsi mm syo mpenzi wa wasani bongo fleva
Lkn mondi ametengeneza pesa,ana shares sehemu flan flan
Ktk bongo hakuna msani kama yeye

Ova
 
Tafuta ela zako panga budget zako ishi maisha yako
 
Mond kasema analipwa milioni 230 Kwa mwezi .......unataka atembelee Toyota raum kama wewe mwenye salary ya 500kπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa mwezi
 
[emoji1][emoji1] Aya inaonekana unajua sana branding [emoji1][emoji1] ndio kununua magari au kufanya kazi nzuri
Ndiyo maana anazidi kupaa na atazidi kupaa kuwaacha wasiojiongeza wakibaki nyuma, and don't be negative kwani pamoja na magari kuna vitu vingi vingine kama vile media ambavyo nadhani unafijanya unaona ununuzi wa magari peke yake na hivyo hauvioni.
The chap has a solid and focused management, keep that into your mind.
 
Jamaa unateseka sana wewe no wonder hapo ulipo huna hata baiskeli ila unataka umpangie mwenzio maisha.
 
Reactions: Qwy
Hii ni blacks brains mentality.
Yaani weusi kuwaza kuwekeza mpaka wajukuu wakute matunda ama kizazi chako Cha 5 hakuna mkuu.
Mali inatoka kwa baba inaishia kwa watoto basi.
Kupata Mali sip kazi Ila kukaa nayo mikononi ama utaifuja ili urudi kwa status yako ya kukaa uswahilini na kulilia serikali ili uonewe huruma kuwa wewe u mnyonge na masikini.
Yaani waafrika huwa ni ngono tu na mziki ama ku dance.
Tafuta nyuzi nyingi humu Kama sio za kulana kimasihara.
Yaani USA Kuna kampuni Zina miaka zaidi ya 200+ mie nashangaa sie twafeli wapi.
Ile kampuni ya utalii ya Thompson bosi wake yupo USA huku kaweka kila kitu sawa hela Ina tiririka kwa akaunti yake.
Mtu ku estimate uchumi cycle ya dunia inavyoenda for 50 yrs awekeze hata kwa stocks fulani hakuna.
Ama ununue bonds kadhaa bot za miaka 30.
Ama hata USA bonds wekeza. Umasikini ndo tunaorithishana
 
Mzee baba wewe umewekeza wapi na returns zako zikoje per annum, au ndiyo debe tupu haliachi kuvuma.
Let him be, acha dogo afaidi matunda ya jasho lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…