Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa.
Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) kuwakaribisha Vijana wengine kwenye shamrashamra za Marathon ya miaka 48 ya CCM pamoja na Bash maalum vyote vikifanyika kesho January 4,2025 Jakaya Convention Centre Jijini Dodoma.
Wasanii hao watakuwepo kwenye Marathon ambayo itafanyika hiyo kesho February 04,2025 ambapo Vijana wataanza mbio kuanzia Jakaya Kikwete Convention Centre saa 12:00 asubuhi zikifuatiwa na burudani kutoka kwa Wasanii mbalimbali.
Marathon hiyo ni kuelekea sherehe za miaka 48 ya kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) tarehe 5 Februari 2025 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Wakuu, Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana. ==== Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha...

Hao wanafanya maombi kwa rais japo ni uchawa lakini hawajaonesha uchama waziwazi kama hao wasani uchwara. Inatakiwa viongozi wa dini kama TEC wajitokeze wahamasishe wafuasi wao kuunga mkono chama fulani kwa uwazi kabisa kama wanavyofanya wasani uchwara na bongo mavi wanavyofanya ili kama ccm wataona nongwa viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa basi iwe nongwa na kwao pia kuwatumia wasanii uchwara kwenye siasa.