Pre GE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

Pre GE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanao wafatilia hao wasanii nankuwapa airtime huwa nawashangaa sana

Ova
 
Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa.

Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) kuwakaribisha Vijana wengine kwenye shamrashamra za Marathon ya miaka 48 ya CCM pamoja na Bash maalum vyote vikifanyika kesho January 4,2025 Jakaya Convention Centre Jijini Dodoma.

Wasanii hao watakuwepo kwenye Marathon ambayo itafanyika hiyo kesho February 04,2025 ambapo Vijana wataanza mbio kuanzia Jakaya Kikwete Convention Centre saa 12:00 asubuhi zikifuatiwa na burudani kutoka kwa Wasanii mbalimbali.

Marathon hiyo ni kuelekea sherehe za miaka 48 ya kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) tarehe 5 Februari 2025 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

View attachment 3224587
Wasanii wa Tanzania wamedharauliwa sana!
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa motivated na wasanii
Au dawa yao ni kuwasusia kazi zao wapambane na hali zao wenyewe

Ova
 
Asubuhi nimesikia Maulid Kitenge na genge lake wamepandishwa helicopter kuangalia na kutangaza marathon, huku wakandarasi wa Tarura sehemu nyingi wakigoma kuendelea na kazi kwa kutokulipwa.(Watawala wanajali upuuzi huku kuna suala la dawa za Ukimwi,TB,Ukoma na chanjo zote za watoto inabidi tununue baada ya Trump kukata mirija ya misaada)
 
Back
Top Bottom