Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

1.TID
2.???
3.???
4.Ray C
5.Q Chief
6.Rachel
7.???
8.???
9.Ibra Da Hasler
10.Ben Pol
11.Mandojo
12.Daz Baba
13.Wema Sepetu
14.Hamidu/ Nyandu Tozi
15.???
16.Matonya
Nyandu nakataa..hagongi mambo ila anadeal nayo....kwa taarifa yeye ndo alimuokoa byser katika shimo na sasa anapambana kumnusuru young dee
 
Hivi wasanii wa mziki au bongo movie huwa wanaingia humu au watu wao wa karibu huwafikishia habari za humu?
 
niliwahi kumuona tabata segerea kitambo kidogo kwenye club moja ya rufita mpaka niliona huruma mixer kawa kama msomali
Dah,nami niliwahi kutana nae pale rufita bar akiwa kachoka mbaya,mwezi mmoja baabae nilienda singida kijiji kinaitwa MTINKO nikakuta mabango yanayoonesha kwamba wiki mbili nyuma ilikua ni tarehe ya yeye kupiga show,nilisikitika sana mana huku mjini haskiki kabsa kweli nchi yetu kuna watu wakishakutumia ukaishiwa hawana time na wewe tena.hapa ndo naumia nikkiiskia ile nyimbo ya Rady J dee IWEJE UWE HISTORIA KABLA SIKU ZAKO HAZIJAFIKA.Leo watu kama chid,Tid,Rayc na huyu daz baba wamekua historia kabla ya muda wao.
 
Halafu kuna thread ilianzishwa hapa siku moja na kusema kuwa Beni paulo ana jihusisha na madawa! Sikuwai kuamini hizi habari kabisa lakini kuna siku nilimuona hadi leo huwa najiuliza mara mbili...huwa sielewi...! Naomba isiwe kweli daa..
naye kaanza?

isije kuwa kweli tu
 
wale rafiki zangu walionisifu kwa maneno matamu leo ni mitusi tu kwa jamiiiii forummmmm.....kweli Diamond nabii mchanga
 

Inasikitisha sana, ila kwa muziki ulipo leo hii kwa msanii anayefanya vizuri kama unaakili huwezi kuja kuwa na maisha mabovu baada ya kuacha muziki..

Wasanii wajifunze kwenye maisha ya kawaida ya mtu kama AY, huyu mtu yupo poa sana maana amewaonyesha wasanii unaweza ukawa na maisha mazuri na kufanikiwa nje ya kipato cha shows na muziki wako...
 
Maybe wanajaribu kuprove Get Rich or Die Tryin....ilishasemwa, kosa vyote lakini sio hekima!
Fuatilia historia ya madawa yalivyoanza na siri ya chemistry yake yanapoingia kwenye damu ya mtu. Ni hatari mbaya. Ni vitu vya ajabu sana. Yaani ni kama false reality au impersonation. Kosa kubwa kuliko yote kwa hivi vitu ni KUJARIBU. YAakiingia tu kwenye mfumo wa damu baaaaas ndo umekwenda, gear ya reverse ndo inaongeza speed ya kwenda mbele. Kwa muundo na athari yake ni kuwa, ukishatumia unakuwa umeweka rehani afya yako kuyategemea yenyewe ili ufeel "normal" bila kubwia unafeel "severe malaria" au unahisi pain ya kufa mtu. Ukitumia tu unakua "poa". That's a slow death, dying alive!
ACHA KABISA HATA KUTAKA KUJUA TU NGADA INAFEEL VIPI, USIJARIBU. USIJARIBU. USIJARIBU.
 
we acha tuu kk....na yamewatafuna wengi toka miaka ya tisini.....akina D rob akina fanani nk
 
Wasanii wengi wa bongo record ndo wahanga Yule p ndo chanzo wakija radion wanakutana na ruge anawaongezea stress mpaka waishe pumbafu
 
Duh yule dem karudisha jezi? Namkumnuka kibonge flani ana wowowo

Huyo huyo mkuu,tumemzika kwao Morogoro,alikuwa na wowowo balaaa,alivyokuwa anaumwa ukiambiwa huyu ndiye bahati mtikisiko unamkana,ngwengwe noma sana mkuu
 
Mkuu Ben Pol huyu huyu wa Sophia au mwingine!! Hii ngumu kumeza maana jamaa ana mwili ule ule toka kaingia jwnye hii tasnia. @muuzasura thibitisha hili maana kwenye hii forum ya celebrities nachukua neno lako kama sheria
Yaani huyu ndo ananishangaza kabisa, ana stress za nini cjui, shule anayo, kipaji anacho....ulimbukeni labda
 
Yaani huyu ndo ananishangaza kabisa, ana stress za nini cjui, shule anayo, kipaji anacho....ulimbukeni labda

Hii naona imekaa kumchafua zaidi maana sioni kilichobadilika kwake kwa muonekano na utunzi so far. Watu wamechukulia mwili wake na kulinganisha na watumiaji ngada na kumkuta na hatia kwa muonekao lakini yupo hivyo siku zote. Siamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…